Kwa tukio hili, nikiweka pesa benki za Kitanzania, mniite mbwa nipo Qatar

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
228
Reaction score
210
Kwema wadau?

Kutokana na ubize wa Maisha nilionao, ni jana tu ndio nilipata nafasi ya kwenda kushuhudia michuano ya kombe la dunia kwenye uwanja wa Khalifa International Stadium licha ya kuwepo Qatar mwezi wa tatu sasa.

Kama ilivyo desturi yangu, huwa sipendi kusumbua watu au kusumbuliwa. Ndio maana nililipia mechi zote za kombe la dunia japokuwa kwa ratiba zinavyonibana nahisi mechi ya jana ndio ya mwisho kuangalia. Sina muda wa kupoteza!

Juzi kati niliongea na binamu yangu wa Mwanza, nikamjulusha kuhusu ujio wangu Tanzania kusherekea sikukuu na ndugu zangu wa ukoo.

Nilimuamishia pesa kidogo kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu kutoka kwenye account yangu ya likizo. Jana la account: JUNIOR RUTASHOBORWA HOLIDAY AC. M&T Bank tawi la Manhattan, New York.

Cha kushangaza account ya binamu imefungwa, vyombo vya usalama, TAKUKURU , POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI, wameagizwa wamchunguze binamu yangu.

Binamu alijaribu kujitetea lakini bahati nzuri alipotaja jina langu....kuna baadhi ya mawaziri wananifahamu nadhani wamesoma habari zangu hapa JF.

Ameachiwa kwa dhamana ya milioni 80. Bibi yangu alimdhamini. Jumanne anatakiwa aripoti TAKUKURU.

Kuna mtu alijitambulusha kwangu anaitwa MWIGULU LAMECK amenishauri nifanye bagain na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali nikibali kulipa millioni 400 ili kesi iishe.

Sikujua kutuma pesa zaidi ya 1B kupitia benki za nje ni uujumu uchumi.

Nimejuta kutumia huduma za kibenki za bongo.

NAFIKIRIA KUHAIRISHA KUWA NA LIKIZO TANZANIA.
 
Enkoko nkuru, yaegesa enkonko nto unyamkyalo"

Kyoma, waguma?
 
Kuna mtu alijitambulusha kwangu anaitwa MWIGULU LAMECK amenishauri nifanye bagain na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali nikibali kulipa millioni 400 ili kesi iishe. [emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
IMG_0171.jpg

tuanzie kwenye mtori kwanza
 
jf imevamiwa,nonsense
Nshomile huyo.

Kwema wadau?

Kutokana na ubize wa Maisha nilionao, ni jana tu ndio nilipata nafasi ya kwenda kushuhudia michuano ya kombe la dunia kwenye uwanja wa Khalifa International Stadium licha ya kuwepo Qatar mwezi wa tatu sasa.

Kama ilivyo desturi yangu, huwa sipendi kusumbua watu au kusumbuliwa. Ndio maana nililipia mechi zote za kombe la dunia japokuwa kwa ratiba zinavyonibana nahisi mechi ya jana ndio ya mwisho kuangalia. Sina muda wa kupoteza!

Juzi kati niliongea na binamu yangu wa Mwanza, nikamjulusha kuhusu ujio wangu Tanzania kusherekea sikukuu na ndugu zangu wa ukoo.

Nilimuamishia pesa kidogo kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu kutoka kwenye account yangu ya likizo. Jana la account: JUNIOR RUTASHOBORWA HOLIDAY AC. M&T Bank tawi la Manhattan, New York.

Cha kushangaza account ya binamu imefungwa, vyombo vya usalama, TAKUKURU , POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI, wameagizwa wamchunguze binamu yangu.

Binamu alijaribu kujitetea lakini bahati nzuri alipotaja jina langu....kuna baadhi ya mawaziri wananifahamu nadhani wamesoma habari zangu hapa JF.

Ameachiwa kwa dhamana ya milioni 80. Bibi yangu alimdhamini. Jumanne anatakiwa aripoti TAKUKURU.

Kuna mtu alijitambulusha kwangu anaitwa MWIGULU LAMECK amenishauri nifanye bagain na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali nikibali kulipa millioni 400 ili kesi iishe.

Sikujua kutuma pesa zaidi ya 1B kupitia benki za nje ni uujumu uchumi.

Nimejuta kutumia huduma za kibenki za bongo.

NAFIKIRIA KUHAIRISHA KUWA NA LIKIZO TANZANIA.
Wewe Jamaa umekuwa storyteller
Hizi stori za kinigeria
 
Back
Top Bottom