Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
LIKUD amefungua watu wengi Sana kuhusu ubabaishaji wa shule za EMs zinazo tumia mtaala wa Necta.
Pia soa > Mwanza: Watoto wawili wa Shule ya Blessing Model watekwa, wengine Wanne wanusurika
Wengi ni wababaishaji Sana. Ndio maana Likud anasema hakuna mantiki yoyote Kwa mzazi masikini kujistress kulipa hela kwenye shule hizo Kwa sababu kwanza ni ubabaishaji mtupu plus there is no value for your money.
Hebu imagine unamkabidhi mtoto wako afundishwe na shule ambayo uongozi wake ni wababaishaji kiasi hicho?
Yani Kweli dereva ana mpa lift mtu asiejulikana apande kwenye bus lililo beba watoto?
Huo so mchongo kabisa Kati ya dereva na mtekaji?
Mzazi unae somesha watoto wako shule za EMs umeona jinsi watoto wako wasivyo salama?
Unaweza ukakuta hata baadhi ya walimu wanahusika.
Shule hizo Zina njaa Sana zinaendeshwa kihasara.
Kama huwezi kulipa Dola elfu 40 Kwa mwaka kumlipia mwanao shule ya International inayo fuata mtaala wa Cambridge bora muache asome Kayumba.
Halafu wale waumini wa watoto wachache darasa moja mmeona madhara ya watoto wachache?
Uchache wa wanafunzi shuleni ni rahisi hata Kwa watoto kubakwa na walimu wafanyakazi au hata shule kutekwa.
Darasa moja Lina wanafunzi wanane shule nzima ina wafunzi arobaini. Hapo ni rahisi wanafunzi kutekwa hata shule nzima lakini shule yenye wanafunzi elfu 3 mtekaji anateka vipi wanafunzi wote?
Nyie watekaji, wazazi wanao somesha Ems ni masikini tu wanajibana bana wapate Hela ya ada hawana lolote.
Na nyie wazazi masikini , mnajitutumua kulipa ada shule za gharama wakati hamna Hela mwisho wa siku mnasababisha watekaji kudhani mna Hela kumbe hamna kitu..
Nashukuru Mungu watoto wangu niliwaleta Kayumba baada ya kufuata ushauri wa Likud.
Mungu walinde watoto waliotekwa waungane na familia zao salama