Uongo. Mbona mnawadharau Sana Wazazi wanao somesha Kayumba?Huku kayumba mtoto akipotea kuja kujulikana ni siku ya 3.
Hapo unakuta mzazi anahisi yuko kwa shangazi yake, na Mwalimu anahisi yuko nyumbani.
Nimewaza tu 😀
Hakuna uhusiano. Benji kuvamiwa ni kawaida . Gari la shule kutekwa Sio kawaidaKwahiyo siku benki moja ikivamiwa na majambazi wakaiba, utakuja kutushauri kwamba wanao tunza pesa ndani wapo sahihi kwasababu tukipeleka benki zitavamiwa na pesa kuibwa right.....🤔
Hizi hoja mbili mbona ngumu kumeza:
1. Watoto wakiwa wachache inakuaje rahisi kubakwa?
2. Watoto wakiwa wachache inakuaje rahisi kutekwa? Kwani lazima ateke shule nzima?
Okay. I see.Kwa mfano shuleni mtoto akiwa anaenda chooni anaweza kubakwa na mfanyakazi au mwalimu Kwa sababu movement ni chache. Kayumba movements ni nyingi Sana Hilo ni ngumu kufanyika
Wnt#mbw sana hao na bodabodaMajanga kila kona tu hata huko kayumba mbona mengi tu..........vingi asubuhi kwa kitaa nikiwa nawahi job navionaga vinatoka kwenye majumba ambayo hayajakamilika kujengwa., na mzazi anajua dogo kaenda shule,,,,,wengi chakula ya bodaboda na wahuni wengine wa mtaani
HaohaoWatoto wa shule ya msingi?
Wanataka Hela za wazazi Kwa sababu Wana Hela wanasomesha international schoolHapo ni kujiuliza kwanini watoto watekwe?
Hebu wakae chini na wazazi wao wawahoji vizuri
Ova
Wamiliki wa shule za EMs wengi wababaishaji.Hapo Mwanza watoto wanatekwa? Very bad.
Haijalishi ni shule ipi ila ni tukio baya.
Je, wale walioteka watoto miaka fulani hapo Kenya wameingia Tanzania ?
Hivi huu uzembe wa nini dereva utabebaje watu huwajui kwa gari ya watoto wa shule?
Mwaka jana walimpotezea mtoto mlima mmoja huko huko sijui wapi, yule mtoto akalindwa na Mungu hadi akapatikana.
Waziri mwenyewe ndo huyo analumbana na Mheshimiwa,
Hebu waturejeshee wajukuu zetu, wasitutanie
Wababaishaji Sana hawa wamiliki wa Ems📌EMS once again!!!
Umenikumbusha maskini wa uswahilini dar es salaam kusomesha mtoto bunge ,olimpio shule za msingi wanajiona kama wamesomesha Tanganyika internetion alafu wanapoishi mbali na shule yani shule hipo posta wapo makazi mbagara vikindu.LIKUD amefungua watu wengi Sana kuhusu ubabaishaji wa shule za EMs zinazo tumia mtaala wa Necta.
Pia soa > Mwanza: Watoto wawili wa Shule ya Blessing Model watekwa, wengine Wanne wanusurika
Wengi ni wababaishaji Sana. Ndio maana Likud anasema hakuna mantiki yoyote Kwa mzazi masikini kujistress kulipa hela kwenye shule hizo Kwa sababu kwanza ni ubabaishaji mtupu plus there is no value for your money.
Hebu imagine unamkabidhi mtoto wako afundishwe na shule ambayo uongozi wake ni wababaishaji kiasi hicho?
Yani Kweli dereva ana mpa lift mtu asiejulikana apande kwenye bus lililo beba watoto?
Huo so mchongo kabisa Kati ya dereva na mtekaji?
Mzazi unae somesha watoto wako shule za EMs umeona jinsi watoto wako wasivyo salama?
Unaweza ukakuta hata baadhi ya walimu wanahusika.
Shule hizo Zina njaa Sana zinaendeshwa kihasara.
Kama huwezi kulipa Dola elfu 40 Kwa mwaka kumlipia mwanao shule ya International inayo fuata mtaala wa Cambridge bora muache asome Kayumba.
Halafu wale waumini wa watoto wachache darasa moja mmeona madhara ya watoto wachache?
Uchache wa wanafunzi shuleni ni rahisi hata Kwa watoto kubakwa na walimu wafanyakazi au hata shule kutekwa.
Darasa moja Lina wanafunzi wanane shule nzima ina wafunzi arobaini. Hapo ni rahisi wanafunzi kutekwa hata shule nzima lakini shule yenye wanafunzi elfu 3 mtekaji anateka vipi wanafunzi wote?
Nyie watekaji, wazazi wanao somesha Ems ni masikini tu wanajibana bana wapate Hela ya ada hawana lolote.
Na nyie wazazi masikini , mnajitutumua kulipa ada shule za gharama wakati hamna Hela mwisho wa siku mnasababisha watekaji kudhani mna Hela kumbe hamna kitu..
Nashukuru Mungu watoto wangu niliwaleta Kayumba baada ya kufuata ushauri wa Likud.
Mungu walinde watoto waliotekwa waungane na familia zao salama
Sahihi Kabisa mkuu. Halafu ukiwaelekeza wanakuona eti hauna Hela.Umenikumbusha maskini wa uswahilini dar es salaam kusomesha mtoto bunge ,olimpio shule za msingi wanajiona kama wamesomesha Tanganyika internetion alafu wanapoishi mbali na shule yani shule hipo posta wapo makazi mbagara vikindu.
Duh Watu ni washenziHaohao
Sijajua kwa mkoani ila kwa huku dar hivi vitoto vinapelekewa sana moto na wahuni mitaani....mtu anajua anatoa upwiru kwa bei ndogo hamna hata haja ya gest hawa wanavutwa tu vichakani mtu anapiga cha fasta atampa hata buku imeisha hio,,, na vitoto vingi vimekua na tamaa na vinapenda mashindano na wenzao na vingi vinatoka familia ambazo kiuchumi haziko sawa, bodaboda, makonda wa daladala wamewafanya ni chakula yao na wahuni wengine mtaaniDuh Watu ni washenzi
Duh hatari Sana aiseeSijajua kwa mkoani ila kwa huku dar hivi vitoto vinapelekewa sana moto na wahuni mitaani....mtu anajua anatoa upwiru kwa bei ndogo hamna hata haja ya gest hawa wanavutwa tu vichakani mtu anapiga cha fasta atampa hata buku imeisha hio,,, na vitoto vingi vimekua na tamaa na vinapenda mashindano na wenzao na vingi vinatoka familia ambazo kiuchumi haziko sawa, bodaboda, makonda wa daladala wamewafanya ni chakula yao na wahuni wengine mtaaniView attachment 3227744View attachment 3227743