mlambaji asali
Senior Member
- Jan 30, 2023
- 150
- 505
Kwa Sasa humu jf sports wanapaona kama kituo cha police[emoji23][emoji23]Ngoja yaje mabumunda kuharibu huu uzi
[emoji1787][emoji1787]Bamako 2- 0 yang'aa
Kama mlichopigwa kule guinea na wale wachovu Horoya [emoji23][emoji23]Yani nyie banaaa hahahaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mtapigwa kimoko cha dharau mrudi hapa mpumue
Ewaaaaa chenu kitakua cha dkk zile zile mlizopigwa na wa Tunis hahahaKama mlichopigwa kule guinea na wale wachovu Horoya [emoji23][emoji23]
Kama alizowaweka prince dube wa Azam juzi [emoji23][emoji23]Ewaaaaa chenu kitakua cha dkk zile zile mlizopigwa na wa Tunis hahaha
Sio makolo aisee,lazima wapite nao huu uziKwa Sasa humu jf sports wanapaona kama kituo cha police[emoji23][emoji23]
La kuotea lile mr Bwaksi...Kama alizowaweka prince dube wa Azam juzi [emoji23][emoji23]
Ila mlitia fora aisee sekunde ya 10 tu goli, yaani hata kuku huwa wanachelewa kidogo[emoji23][emoji23]
Kina nani hao? Yani tuache kuwepo jukwaani kisa Simba amefungwa kwani dhambi ? Sisi wengine tupo sana humu.. π π π πKwa Sasa humu jf sports wanapaona kama kituo cha police[emoji23][emoji23]
Goli moja la mayeleKwa kiwango walichokionesha kwenye mechi dhidi ya Tp Mazembe, Naiona Yanga ikishinda 2-1 ugenini.
Je unahisi Yanga watashinda goli ngap