Kwa tunaoamini, Ningependa ufafanuzi kuhusu hili

Kwa tunaoamini, Ningependa ufafanuzi kuhusu hili

dexterous

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
2,037
Reaction score
3,134
Wasalam great thinkers,

Nisingepnda kuwachosha sana kwa maelezo mengi..

Ni hivi, kwa tuliosoma Bible na Quraan tumepata kusimuliwa juu ya uwepo wa mitume mbalimbali yapata kusadikika au tuseme kuthibitika ya kwamba waliishi miaka mingi sana, wengine waliishi miaka mia sita, mia saba nakuendelea, manabii hao waliopata kuishi miaka hiyo ni Nuhu na wengine wengi.

Swali langu linakuja kwamba ni kigezo kipi kilitumia ku determine hiyo miaka kwamba inafatana na hii kalenda ya sasa ya siku 360 na miezi 12 kutimiza mwaka? Na kama ndio, how is it be possible mtu kuishi miaka yote hiyo?

Mfano uchukulie kuna walioishi tangu Marekan inapata uhuru, karne hiyo mpaka sasa bado yuko hai na bado ataibakiza hata miaka 200 mbele naomba pia kueleweshwa hata na ukubwa wa maumbo yao ilikuwa kulinganisha na miaka hiyo..

Asante sana, naomba kueleweshwa wana Intelligence..
 
Swali linaeleweka mkuu... Thing is tukikuambia kuwa ni kweli waliishi miaka hiyo au miaka haikuhesabiwa kama leo tutahitaji uthibitisho... Kwa bahati mbaya wataalamu wa Bible History ni wachache... Tuendelee kungoja perhaps watakuja wenye majibu timilifu ya suala lako
 
zamani watu waliishi sana ila kuna sehemu mungu alipunguza umri wa kuishi ntakuletea marejeo soon.miaka ni hii hii tu
 
Back
Top Bottom