maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Mark these words ☝️Kwa tunaojua mambo ya kiroho mama kachanganyikiwa na akili yake haikuwa sawa,na hata waliomsikiliza wenye akili ambao ni Viongozi wake wa Serikali wameumia na hotuba ya mama
Kitakachotokea amezidi kuzifupisha siku zake yeye mwenyewe za kukaa madarakani,kiuhalisia hesabu bado zinakataa mama hatotoboa hata miaka 2 kwake ni Mingi sana naomba siku moja muukumbuke huu uzi
Na-am.Kwa tunaojua mambo ya kiroho mama akili yake haikuwa sawa,na hata waliomsikiliza wenye akili ambao ni Viongozi wake wa Serikali wameumia na hotuba ya mama
Kitakachotokea amezidi kuzifupisha siku zake yeye mwenyewe za kukaa madarakani,kiuhalisia hesabu bado zinakataa mama hatotoboa hata miaka 2 kwake ni Mingi sana naomba siku moja muukumbuke huu uzi
Time to clean up houseKwa tunaojua mambo ya kiroho mama akili yake haikuwa sawa,na hata waliomsikiliza wenye akili ambao ni Viongozi wake wa Serikali wameumia na hotuba ya mama
Kitakachotokea amezidi kuzifupisha siku zake yeye mwenyewe za kukaa madarakani,kiuhalisia hesabu bado zinakataa mama hatotoboa hata miaka 2 kwake ni Mingi sana naomba siku moja muukumbuke huu uzi
Katiba inasema D9 siku ya kusherehekea uhuru wa Tanganyika, atolewe kwa maandamano ya nguvu, hakuna huruma za uzanzibari, uana uke wake wala dini yake.Katiba yetu inasemqje ikitokea mtu akichanganyikiwa akiwa madarakani inatakiwa nini kifanyike?
Ni kweli. Ni kama wewe.Kwa tunaojua mambo ya kiroho mama akili yake haikuwa sawa,na hata waliomsikiliza wenye akili ambao ni Viongozi wake wa Serikali wameumia na hotuba ya mama
Kitakachotokea amezidi kuzifupisha siku zake yeye mwenyewe za kukaa madarakani,kiuhalisia hesabu bado zinakataa mama hatotoboa hata miaka 2 kwake ni Mingi sana naomba siku moja muukumbuke huu uzi
Haya ninayokwambia utakuja kunikumbuka,siku za mama zinahesabika hata kwa watu wake wa kalibu sababu anayoongea hayana uharisia na anayotendaNi kweli. Ni kama wewe.
Na yeye mwenyewe anajua hilo kwani unafikiri hajui hilo?mama hatotoboa hata miaka 2 kwake ni Mingi sana naomba siku moja muukumbuke huu uzi
ili jambo kabishane na habil wa TikTok hapa JF unatamba ukiwa mikocheniKama kachanganyikiwa toka barabarani kaandamane
Taarabu nyingi sana.. labda usiku ukiingia analala kwenye jeneza ili akizoee kifo maana anajua what's nextKatiba inasema D9 siku ya kusherehekea uhuru wa Tanganyika, atolewe kwa maandamano ya nguvu, hakuna huruma za uzanzibari, uana uke wake wala dini yake.
Na hili halihitaji mjadala.
Sijui kama naweza kupoteza muda kukumbuka mambo ya urongo kama haya mwanangu. Sorry sana.Haya ninayokwambia utakuja kunikumbuka,siku za mama zinahesabika hata kwa watu wake wa kalibu sababu anayoongea hayana uharisia na anayotenda
Hata huyo unayemuamini anachanga karata zake kwa kutumia nambo ya kiroho zaidi,lakini mara nyingi damu za watu zina nguvu kubwa sana,labda kwa kukusaidia wale waliokufa wamekufa kabla ya ahadi ya aliyewaumba,na kumbuka kila binadanu ana nguvu tofauti,roho zao zinamlilia mama,na zinamtesa na lazima atakosa raha na nafsi yake itawafwata,sawa na kusema auwaye kwa upanga? R.i p Karume babaSijui kama naweza kupoteza muda kukumbuka mambo ya urongo kama haya mwanangu. Sorry sana.