Kwa tunaojua mambo ya kiroho, hayupo sawa

Hilo ni ombi la Kila hater wa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Tunawajua na tumezoea maombi yenu haya mnayooomba Kila siku alfajiri, asubuhi, mchana, adhuhuri, alasiri, jioni, magharibi, usiku Hadi usiku wa manane. Kukubaliwa au kukataliwa ombi lenu ni juu ya Mungu mwenyewe lakini sisi wazalendo wa kweli wa nchi hii tutaendelea kumuombea mema na kuliombea mema taifa hili.
 
Toka yalivyotokea yale ya magu, huwa sishauri watu mjizime data hivi. Wekeni akiba ya maneno
 
Ulimwengu wa kiroho unamtesa sana mama naamini huko aliko anajutia jana yake,leo yake mpaka kesho yake,hata waganga wake wanaujua ukweli lakini hawataki kumwambia ukweli,nao wanasubiria tu siku ifike ndiyo itakayoamua mustakabali wa Tanganyika
 
 
Kwa hiyo ulitaka asemeje ili akae miaka kumi
 
Issue ni damage atayoacha akitoka!
Kama rais ana symphasize na dini huoni ni tatizo hilo?

Very serious problem cooking, wajuba huko juu wachukue hatua za haraka!
Ccm!

Mikopo ndo hivyo tushapigwa pini, kuna lipi jipya anatuletea zaidi ya hali ngumu na maandamano zaidi?

Time is now!
 
She carries a dark aura around her.

It's like she has transitioned already to another realm, bado kuondoka rasmi tu.

Kiroho hayupo nasi keshatutoka. Kilichobaki ni ule mwili tu ambao umekosa dira kwa sasa.

Ni swala la muda tu.
 
Kwa kifupi kabisa MENE MENE TEKELI NA PERESI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…