Mkemia kay
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 131
- 135
Na ikiwezekana ukiwa ume funga Gas, service kwa wkt hapo hupati stress, ushauri mzuri mkuuKwa uzoefu wangu biashara ukiifanya wewe kama wewe yaani driver inalipa vizurii tu tena unaweza kulaza mpk 1k kutokana na mzunguko na unakaa wapi Maeneo gani I mean sio ukae mbagala au buza utegemee kupata iyo hela apo unafeli. First thing PLACE ndo itadetermine mpunga second thing PRODUCTS gari ya aina gani sio ununue crown uifanye Uber my bro iyo n loss chagua gari ambalo running cost ni ndogo the third thing is PRICE kuhusu price inajulikana huwa znapangwa straight forward kingine ni PROMOTION je w unajipromote vipi interms of loyalty and customer care, safety and cleanliness. Apo ukiwa wewe kama wewe ni unyama lakini ukimkabidhi mtu kumbuka kupata faida ni ngumu coz pesautakayokua unaipata ni tofauti kabisa na running cost mara nyingi hesabu ni 40,000 mpk 30,000 asa apo ukitoa Kodi na service SEMA unaingiza 20,000 matumizi binafsi Bado kusave ngapi ko unajikuta upo palepale husongi. It's better to do it by your self.
Kwa mtazamo wangu
Watu wengi wanapenda kufunga gesi sema installation yake ni ghali sana kama1.5M.Kama sijakosea.Na ikiwezekana ukiwa ume funga Gas, service kwa wkt hapo hupati stress, ushauri mzuri mkuu
Kuongoza laki nne kasoro imelipa sana...Vipi iyo.... Imekaaje apo imelipa au imelipa kisasi[emoji23]
Kuongoza laki nne kasoro imelipa sana...View attachment 2690679mwezi huu jamaa alipiga pia...huo ni sawa na mshahala wa mtu mwenye diploma anafanya kazi serikalini
Habari, naomba kupata gari la kufanyia kazi Tax Mtandao. Mi ni dereva nina miaka 25, nimesoma VIP. Nina vigezo vyote kama Dereva, Nipo Tabata. kwa mwenye gari tafadhari naomba tuwasiliane.Habari wakuu, Naomba kuuliza mwenye uelewa kuhusu hizi private cars ( uber, bolt etc)unaweza kuwa unaingiza kiasi gani kwa siku faida na hasara zake anisaidie au kama kuna dereva ana uzoefu na hii kazi tuwasiliane tukielewana tunaweza fanya kazi pamoja