Kwa ubunifu huu east africa radio nawapigia salute

Mwanangu una kitu....
 
Daah kita.bo sana skuwa naskiliza the cruise toka alivkuja fidi ila ngja sku hz nianze kuifatilia kwanza

yess BiShoo haswaaAaa
 
Uzuri wao akiondoka mtu anakuja mwingine anatengenezwa mambo mbiombio tu.
 
The cruise kuanzia saa tatu sijasikiliza hivi karibuni ila East Africa Drive "ndinga mpya town" ile ya toka saa kumi sk hizi imedorora. Kile kipindi kiliteka enzi za dream team ya David Rwenyagilla, Ian Diallo na Dj Mackay.

Alipoondoka Rwenyagilla pengo lilionekana wazi, ila at least Diallo na Mackay walijitahidi kuendeleza ubora. Hivi sasa Diallo simsikii tena. Yupo Mackay na mabuda wengine wawili.

Sasa ni Mackay anaonekana kufiti wengine wanalazimishia tu. Style ya kipindi hawaiwezi labda wanafaa vipindi vingine. Hii ndio hali halisi - no hate. EA Drive imedorora!!!
 
Hiko kipindi kinachekesha, watu wanaimba sauti mbaya kichizi afu watangazaji wanawapa moyo japo kwa uwongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…