Mkuu TOCHO ni device gani? Nataka na mie ninunue niwe naitumia kuipata TBCKiukweli tangu Amefariki Ruge nimeachana na clouds mazima yaani, sema hawa East radio masafa yao kuyapata vizuri hadi kwa tocho
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anawatia moyo eti una kitu na kesho piaHiko kipindi kinachekesha, watu wanaimba sauti mbaya kichizi afu watangazaji wanawapa moyo japo kwa uwongo.
Labda wanahitaji muda ili wazoee style ya kipindi. Mara nyingi mtangazaji akipewa kipindi ambacho hajawahi kukifanya unaweza kuona anasuasua ingawa inawezekana ana uzoefu kwenye kipindi kingine tofauti.The cruise kuanzia saa tatu sijasikiliza hivi karibuni ila East Africa Drive "ndinga mpya town" ile ya toka saa kumi sk hizi imedorora. Kile kipindi kiliteka enzi za dream team ya David Rwenyagilla, Ian Diallo na Dj Mackay.
Alipoondoka Rwenyagilla pengo lilionekana wazi, ila at least Diallo na Mackay walijitahidi kuendeleza ubora. Hivi sasa Diallo simsikii tena. Yupo Mackay na mabuda wengine wawili.
Sasa ni Mackay anaonekana kufiti wengine wanalazimishia tu. Style ya kipindi hawaiwezi labda wanafaa vipindi vingine. Hii ndio hali halisi - no hate. EA Drive imedorora!!!
SureLabda wanahitaji muda ili wazoee style ya kipindi. Mara nyingi mtangazaji akipewa kipindi ambacho hajawahi kukifanya unaweza kuona anasuasua ingawa inawezekana ana uzoefu kwenye kipindi kingine tofauti.