Kwa uchezaji wa Inonga Jana, Simba walikuwa na haki kumuacha

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Nafasi walizopata wahabeshi Jana akipata Mzize basi Kongo wanakufa mapema sana kwa Mkapa
Inonga bado anacheza na jukwaa akitaka labda Yanga imuone ila alifanya makosa mengi sana
Nafasi kama zile ukuta wa Job na Bacca haukutoa kabisa ndani ya dk 90
 
Nafasi walizopata wahabeshi Jana akipata mzize basi Kongo wanakufa mapema sana kwa Mkapa
Inonga bado anacheza na jukwaa akitaka labda yanga imuone ila alifanya makosa mengi sana

Ungeenda Moja kwa Moja kwenye lengo lako la kuisifia utopolo kuliko kuzunguka zunguka wee utafikiri kuku anataka kutaga.
 
Naona uzi wako umejikita kuisifia utopolo yako kuliko kumzungumzia uliyemuanzishia uzi..
Mbona nimeitaja pa dogo sana kalpana!
Jana inonga alijua mabos wa team flani wako pale akaanza kucheza na jukwaa
 
Ungeenda Moja kwa Moja kwenye lengo lako la kuisifia utopolo kuliko kuzunguka zunguka wee utafikiri kuku anataka kutaga.
Dah basi sawa ila mwenyewe si uliona clear chance walizokosa wahabeshi wakati inonga anaangalia camera imnase!?
 
Nafasi walizopata wahabeshi Jana akipata mzize basi Kongo wanakufa mapema sana kwa Mkapa
Inonga bado anacheza na jukwaa akitaka labda yanga imuone ila alifanya makosa mengi sana
Nafasi kama zile ukuta wa Job na Bacca haukutoa kabisa ndani ya dk 90
Kweli Inonga masihara hayajaisha, nadhani huwa kuna timu anazichukulia poa.
 
WA Congo wameshasema hawataki shobo. Simba huwa inajua kuachika. Hakuna haja ya kumuongelea ex. Nyie endeleeni kumshobokea Mayele.Simba ilikuwepo kabla ya Inonga na bado IPO Inonga hayupo.😂
 
Ni ujinga kudhani Congo wakiamua kutafuta matokeo Uwanja wa Taifa dhidi ya Taifa Stars basi watayakosa hayo matokeo.
 
Nafasi walizopata wahabeshi Jana akipata Mzize basi Kongo wanakufa mapema sana kwa Mkapa
Inonga bado anacheza na jukwaa akitaka labda Yanga imuone ila alifanya makosa mengi sana
Nafasi kama zile ukuta wa Job na Bacca haukutoa kabisa ndani ya dk 90
Timu ya yanga haina hadhi ya kumpata mchezaji mahiri kama Inonga!!
 
Back
Top Bottom