Ungeenda Moja kwa Moja kwenye lengo lako la kuisifia utopolo kuliko kuzunguka zunguka wee utafikiri kuku anataka kutaga.Nafasi walizopata wahabeshi Jana akipata mzize basi Kongo wanakufa mapema sana kwa Mkapa
Inonga bado anacheza na jukwaa akitaka labda yanga imuone ila alifanya makosa mengi sana
Nafasi kama zile ukuta wa Job na Bacca haukutoa kabisa ndani ya dk 90
Dah basi sawa ila mwenyewe si uliona clear chance walizokosa wahabeshi wakati inonga anaangalia camera imnase!?Ungeenda Moja kwa Moja kwenye lengo lako la kuisifia utopolo kuliko kuzunguka zunguka wee utafikiri kuku anataka kutaga.
Kweli Inonga masihara hayajaisha, nadhani huwa kuna timu anazichukulia poa.Nafasi walizopata wahabeshi Jana akipata mzize basi Kongo wanakufa mapema sana kwa Mkapa
Inonga bado anacheza na jukwaa akitaka labda yanga imuone ila alifanya makosa mengi sana
Nafasi kama zile ukuta wa Job na Bacca haukutoa kabisa ndani ya dk 90
Acha masihara kakaNdio najua Leo kuwa Simba Ilimuacha Inonga.
Timu ya yanga haina hadhi ya kumpata mchezaji mahiri kama Inonga!!Nafasi walizopata wahabeshi Jana akipata Mzize basi Kongo wanakufa mapema sana kwa Mkapa
Inonga bado anacheza na jukwaa akitaka labda Yanga imuone ila alifanya makosa mengi sana
Nafasi kama zile ukuta wa Job na Bacca haukutoa kabisa ndani ya dk 90