Kwa uchungu na hasira, kanena jinsi waTanzania wanavyochezewa shere...

Duh jamaa katiririka yote ya moyoni, ni ukweli wasiotaka kuuskia wanaokeshanga huku wakibeza SGR yetu....akina Mwanzi1
Lakini huyu jamaa awe makini maana ni mkzi wa mpakani, anaweza kujikuta amezushiwa uraia kwa kufuatwa na uhamiaji kama wanavyofanywa wengine wanaothubutu kuhoji.

Hawa wadau kwao wanaishi kama Korea Kaskazini.
 
Duuh... Sijui nani atamsikia masikini mp huyu
 
Yule mkuu wa Twaweza org amezuiliwa passport eti kwasababu alichapisha opinion poll ilionyesha JPM popularity imeshuka kutoka 96% hadi 56%...
 
Kumbe Tanzania ipo na uhuru wa kuongea? Wanao sema JPM amezima taarifa za wapinzani kweli ni muongo.
Democracy huwa dictatorship of the majority, kwa sasa CCM Ipo na majority wa tulie JPM amalize kazi yake waTZ wachague mwingine
 
Kumbe unajua hayo? Mbona basi huwa unaiponda Jubilee wakati wana majority zaidi ya hiyo? Dadavua(Alama20) [emoji1]
 
Kumbe unajua hayo? Mbona basi huwa unaiponda Jubilee wakati wana majority zaidi ya hiyo? Dadavua(Alama20) [emoji1]
Jubilee waliiba kura na korti ikathibitisha hilo, lakini hayo ni yaliopita, Uhuru mwenyewe alimwendea Rao sababu hakuwa na legitimacy
 
Jubilee waliiba kura na korti ikathibitisha hilo, lakini hayo ni yaliopita, Uhuru mwenyewe alimwendea Rao sababu hakuwa na legitimacy
Korti gani hiyo? Kweli, ni yaliyopita lakini kwako ni stori ya mjini. Unavyolia lia kuhusu Jubilee kutoka chee hadi machweo inamaanisha pia na wewe umepitwa, na wakati? [emoji1]
 
Tukimuweka Ndii hapa, mnalalaka, mara huyo ni activist sio msemaji wa upinzani, mara Ndii anaropoka tu hana facts.

Hebu leo kamuulize huyu mbunge wa Tarime kama akipewa chai ina sukari ya Kenya atakunywa? Tunaambiwa mpaka unga wa ugali wa Kenya unakausha "zana za kiume" Tunawalinda hao ndugu zetu wa mipakani wasiharibiwe zana zao hadimu [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
 
Yule mkuu wa Twaweza org amezuiliwa passport eti kwasababu alichapisha opinion poll ilionyesha JPM popularity imeshuka kutoka 96% hadi 56%...
Kweli kabisa Mkuu..
Anaitwa AIDAN EYAKUZE..
Baba yake Mzazi na Mama yake Mzazi wote ni Watanzania wa kuzaliwa na walikuwa watumishi wa serikali..
Yeye mwenyewe Aidan kazaliwa Mwanza, Tanzania ..
Lakini leo kwasababu kasema ukweli kwenye utafiti wake kwamba pooularity ya JPM Jiwe imeporomoka toka 96% hadi 55% ( na kwa hivi sasa watanzania wengi wanaona popularity ya Jiwe ipo kwenye 20% )wamemnyanganya passport na immigration wanamchunguza uraia.
Dictatorship regime.
 
Wewe kenua tu lakini akipigwa risasi ndio sasa mtaanza kulialia, ooh mara sijui watu wasiojulikana. Jiwe amefanya mkachenji sana ,yaani mkageuka wahuni bana hadi mnatisha. Bisha nikuzabe kofi fasta! [emoji1] Ndii anarelax bila wasiwasi. Kesho yake aamke kusema mengine ya ajabu.
 
Alie kuhadithia amekudanganya
 
Haha, Lady JayDee aliimba SIKU HAZIGANDI, ukitaka maendeleo pokea na changamoto zake. Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi alituambia, ukifunguwa dirisha sio upepo tu utaingia, nzi na mbu nao wataingia.
 
Haha, Lady JayDee aliimba SIKU HAZIGANDI, ukitaka maendeleo pokea na changamoto zake. Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi alituambia, ukifunguwa dirisha sio upepo tu utaingia, nzi na mbu nao wataingia.
Sasa hao mbu na nzi ndio akina nani? Mbona unaongea kwa mafumbo basi. Acha wasiwasi wewe! [emoji23]
 
Sasa hao mbu na nzi ndio akina nani? Mbona unaongea kwa mafumbo basi. Acha wasiwasi wewe! [emoji23]
Naongea kwa lugha mpya inayoitwa Changamoto, kama huilewi basi tuachie hapa hapa [emoji23] [emoji23] .
 
Naongea kwa lugha mpya inayoitwa Changamoto, kama huilewi basi tuachie hapa hapa [emoji23] [emoji23] .
Sawa jombaa, sote tunajua ncha ya praizi inavong'ata kishenzi. Hamna hajaaa. [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…