Kwa uchunguzi niliofanya katika matajiri 100 huwezi mkuta msabato au utamkuta moja kwasababu wanafunga biashara jumamosi

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Hata waislam pamoja na siku kuu ya kuabudu kuwa Ijumaa, biashara zinaendelea kama kawaida, saa sita mchana ataenda kuswali, atarudi kuendelea.

Wasabato wengi wanafunga biashara kabisa siku za jumamosi.

Jumamosi ni siku ambayo watu wengi wapo free kufanya shopping, kupeleka magari gereji, kutoka out, n.k.

Wateja wa kila siku huzihama biashara wanapoanza kutafuta sehemu nyingine, wateja wapya wengi wanaokuwa free jumamosi wanakwenda kwengine, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…