Kwa uelewa wangu mdogo ntahitaji msaada wenu wana MMU!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nakaa siku zote najiuliza sipati jibu nasijui ninani wakunisaidia kujibu hili nakila mara nikiuliza mara nyingi nimekuwa nikipewa jibu lisilo kidhi mahitaji ya kiu yangu yakutaka kujua !!Thank God nipo hapa hambapo sikuzote ujivunia kujua mtandao huu wa JF kwani siku zote uamini nimsaada mkubwa kwangu na kwa jamii kwa ujumla.

Baada ya hapo mimi kitu kinacho nisumbua ni hiki:-

  • MAPENZI/PENZI!
Nini msingi wa hili neno,Mahudhui wa hili neno??Unasikia mtu anasema nina mapenzi na yule au nampenda fulani nawakati mwingine akicheat anakoenda anamwambia nakupenda na huku nyuma na ye anampenda sasa mimi sielewi mapenzi ni yapi,Je ya watu wawili kama couples au hata ukiwa na watatu bado unaweza kuwapenda??Je unaweza kuwa na mapenzi na Mtoto wako,Mama yako,Babayako,Dada yako?Kwakutumia neno Penzi/Mapenzi??Je Nini hasa Definition ya neno Mapenzi/Penzi??
 
mimi sijui..yamesha nichanganya sana siku hizi hata mtu akisema nakupenda simjibu chochote
 
mapenzi hasa ni mahusiano baina ya watu pia sula la kua na mapenzi na mwanao au baba au mama yako ni kawaida san kwani ni moja ya maana ya mapenzi.
pia mahusiano mengine kati ya mwanaume na mwanamke kwa namna fulani ambayo ni ya kipekee
 
Mapenzi yaweza kuwa hata kwa mama, dada, kaka, baba na yeyote yule unayeonesha kumpenda kimapendo ya kawaida.
Mapenzi ya mpenzi uliyempa nafasi ya kuwa "part of your body" kwa kuwa mnapeana mapenzi yaan kukutana kimwili ni tofaut na yale ya wengne wa kawaida kama vle nduguzo.
 
Kuna mapenzi ya mtu kwa wazazi, watoto nk hayo ni tofauti na mapenzi ya mtu na girl/boyfriend wake au Mke/me wake!

Tukiyaacha ya familia; haya mengine ya uhusiano uambatanao na ngono, neno hilo linakuwa abused sana kiasi cha kupoteza maana yake!

Tukitumia mfano wako wa mtu anayekuwa na lovers zaidi ya 3, na kila mtu anamwambia anampenda ni bullshit! It makes a lot of sense kwa mkewe; lkn kwa lover 1 amwambie l like ur legs (kama ndio source ya attraction), lover 2 amwambie l like your boobs or eyes na the last one maybe umbo or smile or chochote!
 
So nini maana ya mapenzi hapo nataka uniambie content ya mapenzi!
 
KK unconditional love ni mapenzi ambayo in rain or sunshine yapo tu,hayadai chochote,mfano ni mapenzi kati yako na mama/baba yako,kaka/dada yako,kati yako na wanao kama unao na wakati mwingine rafiki zako wa kijiweni.
kuna sasa hii pasua kichwa Kakakiiza kakutana na Chaupele,total confusion hujui unacho feel kama ni love au lust,hapo ndo ngoma inogile,mpaka uje kutangua hicho kitendawili ndo ushaumia au kumuumiza Chaupele.Always remember mwanaume una vichwa viwili,mwanamke kimoja.
 
mapenzi/penzi now day hayapo, watu walishachakachua meaning na value yake siku nyiiiingi! unachokiona na kukisikia ni maigizo tu! Nini mapenzi au penzi la kimwili? ule upendo tu wakiroho aliotupa Mungu wanadamu hatunao sasa. sasa wewe unaulizia mapenzi ya kweli katika kizazi hiki cha facebook? Definition ya neno mapenzi/penzi atakuwa nayo babu yako na babu yako, huyo ndo anaweza kukupa maana sahihi.
 
hicho cha pili ni kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…