Kwa uelewa wangu Morrison vs Yanga.

Kwa uelewa wangu Morrison vs Yanga.

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Yanga wametolewa kafara kukwepa aibu na uozo wa TFF na kamati yake.

Mwanasheria wa yanga kasema mkataba una ingredients zote muhimu za contract, una consent, capacity to contract una kitu muhimu ambacho ni consideration (pesa aliyochukua Morrison).

Sasa Mwanjala hukumu yake haileweki, imeacha maswali mengi, TFF mnakwama wapi, serikali iingilie humu hii taasisi inaendeshwa kama familia.
 
Yanga waachane na Morison. Wakubali maamuzi ya kamati ya sheria. Huyo jamaa hatocheza soka Tanzania, aonaye mbali atakuwa ashaligundua hilo.

Sababu siyo Yanga, hata watu wazito Simba na Serikalini ashamuona mwiba huyo na washaanza kumsababishia zengwe.
 
Yanga waachane na Morison.
Wakubali maamuzi ya kamati ya sheria. Huyo jamaa hatocheza soka Tanzania, aonaye mbali atakuwa ashaligundua hilo.

Una hoja usikilizwe.
 
kweli kabisa, huyu jamaa ni muhuni atachafua mpira wetu.
 
Yanga waachane na Morison.
Wakubali maamuzi ya kamati ya sheria. Huyo jamaa hatocheza soka Tanzania, aonaye mbali atakuwa ashaligundua hilo.
Sababu siyo Yanga, hata watu wazito Simba na Serikalini ashamuona mwiba huyo na washaanza kumsababishia zengwe.

Lazima tutafute maneno ya kujifariji.
 
Yanga wametolewa kafara kukwepa aibu na uozo wa TFF na kamati yake.

Mwanasheria wa yanga kasema mkataba una ingredients zote muhimu za contract, una consent, capacity to contract una kitu muhimu ambacho ni consideration (pesa aliyochukua Morrison)...
Hivi Luc alisema mashabiki wa Utopolo ni Uneducated, Yanaropoka tu ka manyani, sasa ulitaka wakili aseme ameshindwa kesi, nyie mmemtumia mchezaji hela akaziamuru Benk warudishe pesa afu mnakubali kudanganya
 
Hukumu ya tff imewasaidia sana yanga kuna vitu tff kwa makusudi wamekwepa kuzungumza hawajaeleza polisi waligundua nini walipopelekewa saini za Morison zilizopo kwenye mkataba.

Ukirejea tarehe waliyosema Morison kasaini mkataba tarehe 20/03/2020 na email ya kujadili mkataba ya tarehe 31/03/2020 tayari kuna ukakasi halafu huwezi kusajili mkataba nje ya dirisha la usajili ukichanganya na tuhuma za azam za kufoji barua ya sureboy utaona kuwa yanga ni matapeli na timu inaendeshwa kitapelitapeli
 
Hivi Luc alisema mashabiki wa Utopolo ni Uneducated, Yanaropoka tu ka manyani, sasa ulitaka wakili aseme ameshindwa kesi, nyie mmemtumia mchezaji hela akaziamuru Benk warudishe pesa afu mnakubali kudanganya
dah! hii case kushindwa bora tulivyofugwa 4...mitandaon kugum yan!……[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yanga wametolewa kafara kukwepa aibu na uozo wa TFF na kamati yake.

Mwanasheria wa yanga kasema mkataba una ingredients zote muhimu za contract, una consent, capacity to contract una kitu muhimu ambacho ni consideration (pesa aliyochukua Morrison).

Sasa Mwanjala hukumu yake haileweki, imeacha maswali mengi, TFF mnakwama wapi, serikali iingilie humu hii taasisi inaendeshwa kama familia.
Mkataba bila Signature ni kama gazeti la udaku tu...sasa mkataba umeingia na nani hapo?
Huyo anajitetea tu na kuwapotezea muda na pesa.
 
kwan haukua na signature! hili sikujua mkuu.
Huo mkataba baada ya kuingia mara ya kwanza ulikua na signature...baadaye wakakata halafu ukaendelea mbele ambako hakukua na signature ya Morison kwenye sahihi kulishatwa. Kwa uelewa wangu mdogo mkikata mnasign tena kama kwenye mtihani ulipokata huwa hawa mark.

Inawezekana Morison kawatapeli Yanga bt ni uzembe wao...mkilia na TFF mnawafichia makosa Yanga wahojini vizuri..ile taasisi kubwa kwa makosa kama yale.
 
ACHA UONGO WA KITOTO...KWANINI UNAKUWA MUONGO HIVI TENA UONGO WA KIPUUZI KABISA? WATU WAZITO WAHANGAIKE NA MORRISON? WE BWEGE SANA. SISI YANGA NDO TUMEMKUZA MORRISON .

Yanga waachane na Morison.
Wakubali maamuzi ya kamati ya sheria. Huyo jamaa hatocheza soka Tanzania, aonaye mbali atakuwa ashaligundua hilo.
Sababu siyo Yanga, hata watu wazito Simba na Serikalini ashamuona mwiba huyo na washaanza kumsababishia zengwe.
 
Jamaa una kishumbaz kikubwa sana....hongera 😜😜😜😜😜😜

Back
Top Bottom