Una hoja usikilizwe.Yanga waachane na Morison.
Wakubali maamuzi ya kamati ya sheria. Huyo jamaa hatocheza soka Tanzania, aonaye mbali atakuwa ashaligundua hilo.
Sababu siyo Yanga, hata watu wazito Simba na Serikalini ashamuona mwiba huyo na washaanza kumsababishia zengwe.
kweli kabisa, huyu jamaa ni muhuni atachafua mpira wetu.Yanga waachane na Morison.
Wakubali maamuzi ya kamati ya sheria. Huyo jamaa hatocheza soka Tanzania, aonaye mbali atakuwa ashaligundua hilo.
Sababu siyo Yanga, hata watu wazito Simba na Serikalini ashamuona mwiba huyo na washaanza kumsababishia zengwe.
Yanga waachane na Morison.

Vipi kuhusu kipenge cha shahidi na signature siyo muhimu kwenye mkataba??mkuu tarehe siyo kigezo cha kufanya mkataba kuwa void, tuache usimba na uyanga.
Hivi Luc alisema mashabiki wa Utopolo ni Uneducated, Yanaropoka tu ka manyani, sasa ulitaka wakili aseme ameshindwa kesi, nyie mmemtumia mchezaji hela akaziamuru Benk warudishe pesa afu mnakubali kudanganyaYanga wametolewa kafara kukwepa aibu na uozo wa TFF na kamati yake.
Mwanasheria wa yanga kasema mkataba una ingredients zote muhimu za contract, una consent, capacity to contract una kitu muhimu ambacho ni consideration (pesa aliyochukua Morrison)...
Ni washabiki maandazi ndiyo walidhani labda Yanga ingeshinda, Morison angechezea Yanga. Kilichokuwa kinatafutwa ni fedha, siyo huduma yake.Lazima tutafute maneno ya kujifariji.
dah! hii case kushindwa bora tulivyofugwa 4...mitandaon kugum yan!β¦β¦[emoji3][emoji3][emoji3]Hivi Luc alisema mashabiki wa Utopolo ni Uneducated, Yanaropoka tu ka manyani, sasa ulitaka wakili aseme ameshindwa kesi, nyie mmemtumia mchezaji hela akaziamuru Benk warudishe pesa afu mnakubali kudanganya
Mkataba bila Signature ni kama gazeti la udaku tu...sasa mkataba umeingia na nani hapo?Yanga wametolewa kafara kukwepa aibu na uozo wa TFF na kamati yake.
Mwanasheria wa yanga kasema mkataba una ingredients zote muhimu za contract, una consent, capacity to contract una kitu muhimu ambacho ni consideration (pesa aliyochukua Morrison).
Sasa Mwanjala hukumu yake haileweki, imeacha maswali mengi, TFF mnakwama wapi, serikali iingilie humu hii taasisi inaendeshwa kama familia.
tueleze unavyojua wewwhujaelewa nini budaa,huyo aliyekufundisha principles za contract mwambie akurudishie ada.
Yaani we umeona tarehe tu? Vipi kuhusu consent and so and so?mkuu tarehe siyo kigezo cha kufanya mkataba kuwa void, tuache usimba na uyanga.
Huo mkataba baada ya kuingia mara ya kwanza ulikua na signature...baadaye wakakata halafu ukaendelea mbele ambako hakukua na signature ya Morison kwenye sahihi kulishatwa. Kwa uelewa wangu mdogo mkikata mnasign tena kama kwenye mtihani ulipokata huwa hawa mark.kwan haukua na signature! hili sikujua mkuu.
Yanga waachane na Morison.
Wakubali maamuzi ya kamati ya sheria. Huyo jamaa hatocheza soka Tanzania, aonaye mbali atakuwa ashaligundua hilo.
Sababu siyo Yanga, hata watu wazito Simba na Serikalini ashamuona mwiba huyo na washaanza kumsababishia zengwe.
Yanga wametolewa kafara kukwepa aibu na uozo wa TFF na kamati yake.