wewe umeuona uka prove hauna sahihi!Yule kocha wa yanga kumbe alikua sahihi japo mlikua mnampondea!! Mkataba ambao hauna sahihi ya mchezaji huo Ni mkataba kweli! Huo si utopolo kweli?? Huo si unyani kweli??
Luc eymael njoo uwafafanulie ule usemi wako tafadhali
toa hoja, hivi vitu vigumu kwako, nenda kwenye level zako si kukenua hapa!
Kwahy unategemea mtu kucomment hapa mpaka auone??wewe umeuona uka prove hauna sahihi!
Hapo wamemsitiri Yanga, mbona watanzania tunashindwa kufikiria nje ya box. Tuwe tunajiongeza kidogo kujudge Mambo.hujaelewa nini budaa,huyo aliyekufundisha principles za contract mwambie akurudishie ada.