Kwa ufahulu huu, tahasusi gani inakubali?

Eric Jr

Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
7
Reaction score
12
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D

Amepata Division III Point 23 Hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha HUMAN RESOURCES MANAGEMENT hataki kwenda Chuo Je, aende Advance kwa Combination gani??. Msaada jamani.
 
Nenda kasome diploma ya pharmaceutical intake zilizopita hawakuzingatia physics sijui kwa mwaka huu,walikua wanaangalia kemia na bios tu maana kwa performance hiyo advance hapakufai kwa maoni yangu
 
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D

Amepata Division III Point 23 Hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha HUMAN RESOURCES MANAGEMENT hataki kwenda Chuo Je, aende Advance kwa Combination gani??. Msaada jamani.
Sasa kama hataki kwenda chuo kwanini alichagua chuo?

Mwambie aseme anapenda kombi gani na kwanini
 
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D

Amepata Division III Point 23 Hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha HUMAN RESOURCES MANAGEMENT hataki kwenda Chuo Je, aende Advance kwa Combination gani??. Msaada jamani.
Hgl,hkl
Naona zinaweza kumfaa.
Aende a level tu kusoma diploma kwa arts ni kutumia njia ndefu bila sababu
 
Back
Top Bottom