Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Mpeleke vyuo vya kati akasomee cheti cha fani aipendayo.Salaam wanaJF.
Kijana wangu matokeo yake ya form 4, ni kama ifuatavyo civics C,History D, Geography D,Swahili C,English D,Biology D,Math F.
Je anaweza kupata kombi gani hapo ya kuendelea na form 5? natanguliza shukrani kwa majibu yenu.
Ndo qualificationBaraza la mitihani linampa myihani wa form six mtu mwenye C tatu hapo naziona mbili
Anaweza kuendelea Kama atakuwa tayari Ku-resit akiwa F5,kabla hajafanya mitihani ya F6 ili apate alama moja ya c!Hawezi kuendelea na kidato cha tano Kwa kuwa ana C mbili.
Ili aendelee na kidato cha tano alipaswa kuwa na walau ufaulu unaoanzia C tatu kwenye masomo yasiyo ya Dini.
Ili aendelee form 5 atapaswa kurudia mtihani aongeze C moja.
Ila anaufaulu unaomwezesha kuendele na masomo Kwa ngazi ya Cheti baadae Diploma halafu degree
Kama ni wa kike muozeshe tu.masuala ya elimu hayawezi huyo.
😁😁😁Wakiume mkuu.Kama ni wa kike muozeshe tu.masuala ya elimu hayawezi huyo.
Salaam wanaJF.