Kwa private Institutions yaani amechana ile mbaya.Anaweza kabisa kuendelea na Chuo kikuu unless kama alikuwa anategemea Mkopo wa HESLB hapo ndiyo patamsumbua kidogo.
Kwa nini asipate chuo bwana, mambo yalishabadilika siyo kama enzi sis tunasoma vyuo vikuu vilikuwa Mzumbe na UD sasa vyuo vikuu vipo mpaka Mbagala rangi tatu na hata kwa Mtogole vipo.Swali la kuuliza ni kuwa atapata mkopo lakini chuo kama chuo tatapata wala usiwe na wasiwasi
Chuo ataenda tena kwa speed kali sana,haijalishi kafeli GS ama la ila ni kwa sababu ana point zake 4.Mbona mwaka jana kuna mtu alikuwa na F GS na point zake 9 akachaguliwa kusoma civil engineering udsm tena si yeye tu,walikuwa wengi tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.