Soma umalize level hiyo kwanza. Ukimaliza unganisha chuo kikuu kusoma degree ya Accounting. Everything is possible.Nasoma diploma lakini nasikia degree account ngumu sana matokeo yangu kama ifuatavyo certificate semi one GPA 3.4 semi two 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 saizi nipo semi ya mwisho natamani nimalize niunganishe ila nawaza kutokana na maneno ninayosikia.
Nasoma diploma lakini nasikia degree account ngumu sana matokeo yangu kama ifuatavyo certificate semi one GPA 3.4 semi two 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 saizi nipo semi ya mwisho natamani nimalize niunganishe ila nawaza kutokana na maneno ninayosikia.