Kwa ufaulu huu, je anaweza kusoma degree pharmacy na kupata mkopo asilimia 100%?

Patriarch

Senior Member
Joined
May 21, 2021
Posts
174
Reaction score
228
Wasaalam,

Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?

Karibuni kwa michango na ushauri.
 
Kutokana na ushindani kuwa mkubwa hajaribu kuchagua course nyingine lakini kwa afya nahis itakuwa kwa serikali ngumu labda jaribu private.
 
Wasaalam,

Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?

Karibuni kwa michango na ushauri.
Kupata ni rahisi kwenye vyuo vya private ila tatizo ni mkopo wa 100%
 
Wasaalam,

Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?

Karibuni kwa michango na ushauri.
Omba vyuo vingi kadri huwezavyo,kwa hiyo course...!Usiogope ushindani,sidhani kama utatokea mwaka usiyo kuwa na ushindani...!Pigania ndoto zako...!Kuhusu mkopo nadhani course za afya zimepewa kipaumbele zikitanguliwa na ualimu wa sayansi...!Kila lakheli
 
Ahsante kaka, Mungu ni mwema..
 
Wasaalam,

Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?

Karibuni kwa michango na ushauri.
Kama anapenda hiyo kozi mwambie aombe. Kuomba sio dhambi na ni bora uombe ukose kuliko usiombe kabisa. Pia aangalie kozi nyingine za afya kwenye vyuo vingine pia aangalie options nyingine kama veterinary medicine pale sua.
 
Ahsànte kwà ushauri kaka.
 
Wasaalam,

Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?

Karibuni kwa michango na ushauri.
St.John Uvsty Dodoma anapata
 
Huyo anapata pambana
 
Kwa uzoefu wangu kinacho determine mkopo sio ufaulu tena

1. Attachment muhimu kwamba unauhitaji zaidi kuliko wengine(Death certificate ya mzazi, barua ya kustaafu, barua ya kufadhiliwa na mashirika ya kutoa msaada) etc

2. Background yako(shule ulizosoma O&A label)

3. Course utakayopata

4. Chuo unachoenda kusoma

Hamza kingine zaidi ya hivyo

Hakuna cha zi
 
Pharmacy kwa bongo serikali n muhas tu ambako competition kidogo n kubwa so anaeza omba private kama st John's Bugando au Kampala hata kcmc pia
 
Nimemaliza diploma pharmacy... Lakini form 4 physics Nina F. je naweza kosoma degree. Kama nimefanya vizuri matokeo ya chuo..
 
Ishu ni hiyo F ya phys mkuu maana minimum za kutoka diploma kwenda degree ni D nne. Me nakushauri tafuta kazi piga then maisha yaendeleee, maana sio lazima usome degree ndio utoboe maisha.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Back
Top Bottom