Kupata ni rahisi kwenye vyuo vya private ila tatizo ni mkopo wa 100%Wasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?
Karibuni kwa michango na ushauri.
Omba vyuo vingi kadri huwezavyo,kwa hiyo course...!Usiogope ushindani,sidhani kama utatokea mwaka usiyo kuwa na ushindani...!Pigania ndoto zako...!Kuhusu mkopo nadhani course za afya zimepewa kipaumbele zikitanguliwa na ualimu wa sayansi...!Kila lakheliWasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?
Karibuni kwa michango na ushauri.
Ahsante kaka, Mungu ni mwema..Omba vyuo vingi kadri huwezavyo,kwa hiyo course...!Usiogope ushindani,sidhani kama utatokea mwaka usiyo kuwa na ushindani...!Pigania ndoto zako...!Kuhusu mkopo nadhani course za afya zimepewa kipaumbele zikitanguliwa na ualimu wa sayansi...!Kila lakheli
Kama anapenda hiyo kozi mwambie aombe. Kuomba sio dhambi na ni bora uombe ukose kuliko usiombe kabisa. Pia aangalie kozi nyingine za afya kwenye vyuo vingine pia aangalie options nyingine kama veterinary medicine pale sua.Wasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?
Karibuni kwa michango na ushauri.
Ahsànte kwà ushauri kaka.Kama anapenda hiyo kozi mwambie aombe. Kuomba sio dhambi na ni bora uombe ukose kuliko usiombe kabisa. Pia aangalie kozi nyingine za afya kwenye vyuo vingine pia aangalie options nyingine kama veterinary medicine pale sua.
St.John Uvsty Dodoma anapataWasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?
Karibuni kwa michango na ushauri.
Huyo anapata pambanaWasaalam,

Yes i hope atafanikiwaHiki ni private si ndiyo?
Kwa uzoefu wangu kinacho determine mkopo sio ufaulu tenaWasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa anaweza soma?
Karibuni kwa michango na ushauri.
Mwambie aombe St.John's University of Tanzani (Dodoma). Hiki ni miongoni mwa vyuo binafsi kinachotoa kozi bora kabisa za afya.. Angalizo: hicho chuo kudisco ni kugusa tu asiposoma sawasawaHatari sana
Ishu ni hiyo F ya phys mkuu maana minimum za kutoka diploma kwenda degree ni D nne. Me nakushauri tafuta kazi piga then maisha yaendeleee, maana sio lazima usome degree ndio utoboe maisha.Nimemaliza diploma pharmacy... Lakini form 4 physics Nina F. je naweza kosoma degree. Kama nimefanya vizuri matokeo ya chuo..