Kwa ufaulu huu nataka aende chuo, je akasomee course gani?

Kwa ufaulu huu nataka aende chuo, je akasomee course gani?

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu

Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda
Natamani asome
Cyber security
Computer engineering science
IT and accountancy
Micro biology

Naomba ushauri wako

Benson
Civic C
history C
geo C
B knowledge B
Kisw C
English A
Physic C
Chemistry C
Biology C
Math C.
 
Sina uhakika na mahitaji au vigezo vya TCU kwa kozi za IT lakini akikisi vigezo basi achague kozi za IT.

Kila la kheri.
 
Sina uhakika na mahitaji au vigezo vya TCU kwa kozi za IT lakini akikisi vigezo basi achague kozi za IT.

Kila la kheri.
Sawa ila inatakiwa aanzie ngazi ya cheti
 
Akaizike miaka kadhaa chuo alafu arudi mtaani hola aanze kuitukana serikali haina ajira ,,,haya
 
Anataka veterinary
Anaujua mziki wa Veterinary pale SUA, ? anyway kama yupo good kichwan muache akapambane 3 years ya diploma plus 5 years jumla 8 years [emoji16] , hapo tunazungumzia kumaliza 2033 akianza mwaka huu, kila la kheri kwake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama amemaliza mwaka jana basi kipindi TAMISEMI wanafungua dirisha la kujaza upya zile selform online fanya umjazie technical college kama first choice, then mchagulie computer science au computer engineering pale MUST au DIT.

Akichaguliwa moja kwa moja na TAMISEMI basi atasomeshwa na serikali hadi amalize diploma yake.

Uzuri sifa anazo.
 
Back
Top Bottom