Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu
Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda
Natamani asome
Cyber security
Computer engineering science
IT and accountancy
Micro biology
Naomba ushauri wako
Benson
Civic C
history C
geo C
B knowledge B
Kisw C
English A
Physic C
Chemistry C
Biology C
Math C.
Sawa ila inatakiwa aanzie ngazi ya chetiSina uhakika na mahitaji au vigezo vya TCU kwa kozi za IT lakini akikisi vigezo basi achague kozi za IT.
Kila la kheri.
Anataka veterinaryMuulize anataka nini
SijaelewaTumia astrology na Numerology kufanya maaamuzi
Msaidie aende huko, veterinary ina future nzuri na pesa piaAnataka veterinary
Anaujua mziki wa Veterinary pale SUA, ? anyway kama yupo good kichwan muache akapambane 3 years ya diploma plus 5 years jumla 8 years [emoji16] , hapo tunazungumzia kumaliza 2033 akianza mwaka huu, kila la kheri kwake.Anataka veterinary
Anaijua na Veterinary yenyewe sasa?Anataka veterinary
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaujua mziki wa Veterinary pale SUA, ? anyway kama yupo good kichwan muache akapambane 3 years ya diploma plus 5 years jumla 8 years [emoji16] , hapo tunazungumzia kumaliza 2033 akianza mwaka huu, kila la kheri kwake.