Kwa ufaulu huu naweza kusoma Architecture?

Nimecomplete kdato cha cta 2014 ktk combination ya HGE na nimepata div 1 pt 6 yan economics B+,geog B+,histry B+ pamoja na Basic applied mathematics B+ na dream yang n kusoma architecture,weng wanasema cwez chaguliwa coz nimesoma bam na sio pure

Chukua guidebook ya TCU ina jibu lako
 
Chukua guidebook ya TCU ina jibu lako

Mkuu guide book ninayo na kwamtazamo wang mie nilikua naona naweza soma hasa ktk chuo cha ardhi coz admission requirement zao nimeona hata kwa arts kama unafanya vzur bam waweza soma lakni weng wanasema cwez chaguliwa coz sijasoma pure math
 
Nimecomplete kdato cha cta 2014 ktk combination ya HGE na nimepata div 1 pt 6 yan economics B+,geog B+,histry B+ pamoja na Basic applied mathematics B+ na dream yang n kusoma architecture,weng wanasema cwez chaguliwa coz nimesoma bam na sio pure

Kaka achana na maneno ya watuuu..... gueid book haija specify kuwa ni pure math o basic wao wana kutaka uwe umesoma math so hayo maneno ya watu cjui hujasoma pure cjui nn mm c dhani kama ni kweli so blv in GOD,blv in wat ur doing kwa each en every thing iz pocble katika hii nchi na dunia kwa ujumlaaaaa
Nimeona sehem nying watu wanasema hivyo lakin BAM & PURE zote kwenye TCU n math kaka..... kikubwa ni uwe atleast umefikia minimum requirements points a.k.a cutt point wanazo takaaa
Mm nakwambia utaenda hyo mambo
AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
ALL DA BEST.......GUD LUCK
 
Ushauri mzuri, ila bado sijaona uhusiano wa anachouliza huyu bwana na blv in God!
 
Unapata vizuri tu,mimi nipo pale ingawa sio architecture but nawajua watu wengi ambao wamesoma HGE na EGM so kama umeweka first choice basi ujue unapata tu
 
Ukipata architecture kwa HGE nakojoa viwembe...
 
Wewe unasoma wap?coz mm nasoma Ardhi na nimewaona so wewe unasoma DUCE unataka kujipa umaarufu hapa

Mkuu hua unapenda maligi yasiyo na tija, grow up bhana.... Ardhi napo unajiona upo chuo? Better bite your tongue.

Ni sawa na kusema tumlete mtu wa HGL aje UD asome petroleum geology, sounds that heck...
 
Kumbe wewe ---- kweli,so umeshobokea nini kama sio chuo,..pu.mbav Mkubwa,
 
Mkuu hua unapenda maligi yasiyo na tija, grow up bhana.... Ardhi napo unajiona upo chuo? Better bite your tongue.

Ni sawa na kusema tumlete mtu wa HGL aje UD asome petroleum geology, sounds that heck...

Usitoe povu hata DUCE ni UDSM so wewe wa mlimani tu,unajuaje kuhusu architecture ya ARU?au ndio hashuo linakusumbua,unataka kubishana na mimi ninaesoma pale,mbona cjaibishia DUCE yako?..acha utaahira huo
 
Huwezi soma zamani ndo walikuwa wanachukua huyo anaesema wanasoma hawo ndo wamwisho soma vzur guidebook ya sasa lafu tafuta naya 2010/2011 ndo utaelewa vzur utaona utofauti,hata kozi ya construction management & building survey hazipo,system znabadilika mkuu! HGE na architecture tofauti! Nenda chuo ardhi kaulize wata kuambia labda zile urban and regional planning etc. Ndo utapata.
 
Wanakutisha bure kwanza hawajui nini utasoma na hesabu ina sehemu gani, njoo Ardhi usome Archtecture bwana kwa raha zako chagua kati ya Archtecture 5yrs, Archtecture in landscape design 4yrs, Archtecture in Interior design
 
Mkuu Jerhy najua ww ni arch. hope utanielewa.

Mkuu nina bro wangu alimaza St.Anthony 2007, alikula 1:6 PCM akaacha maeng. ya CoET akaamua achukue hiyo arch. ya ardhi 5yrs, aseee na uBright wote aliokua nao alichezeshwa viduku hatari, liwa vichwa si kitoto, watu wa EGM na HGE walidisco wengi tu kuanzia 3rd year, since then watu wa HGE hawaisogelei kabisa arch. at least EGM nae kwa minato...

kagraduate na upper kala zake shavu caspian, sahivi yupo Quatar anapiga mzigo viwanja vya WC 2018...
 
Last edited by a moderator:

Wanaofeli ni kwa sababu ya kutofanya vizuri Studio Design, fahamu kuwa hapa ni msuli mzito hakuna kuandika literature na essay ni skills za designing pekee kwa hiyo unapaswa kujituma na kuwajibika ipasavyo
 
Last edited by a moderator:
Wanakutisha bure kwanza hawajui nini utasoma na hesabu ina sehemu gani, njoo Ardhi usome Archtecture bwana kwa raha zako chagua kati ya Archtecture 5yrs, Archtecture in landscape design 4yrs, Archtecture in Interior design

C ndo mpaka achaguliwe,credit c ya math's o'level lazma mh! labda atoe rushwa ndo atapata.
 
Back
Top Bottom