Nimecomplete kdato cha cta 2014 ktk combination ya HGE na nimepata div 1 pt 6 yan economics B+,geog B+,histry B+ pamoja na Basic applied mathematics B+ na dream yang n kusoma architecture,weng wanasema cwez chaguliwa coz nimesoma bam na sio pure
Chukua guidebook ya TCU ina jibu lako
Nimecomplete kdato cha cta 2014 ktk combination ya HGE na nimepata div 1 pt 6 yan economics B+,geog B+,histry B+ pamoja na Basic applied mathematics B+ na dream yang n kusoma architecture,weng wanasema cwez chaguliwa coz nimesoma bam na sio pure
Ushauri mzuri, ila bado sijaona uhusiano wa anachouliza huyu bwana na blv in God!Kaka achana na maneno ya watuuu..... gueid book haija specify kuwa ni pure math o basic wao wana kutaka uwe umesoma math so hayo maneno ya watu cjui hujasoma pure cjui nn mm c dhani kama ni kweli so blv in GOD,blv in wat ur doing kwa each en every thing iz pocble katika hii nchi na dunia kwa ujumlaaaaa
Nimeona sehem nying watu wanasema hivyo lakin BAM & PURE zote kwenye TCU n math kaka..... kikubwa ni uwe atleast umefikia minimum requirements points a.k.a cutt point wanazo takaaa
Mm nakwambia utaenda hyo mambo
AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
ALL DA BEST.......GUD LUCK
Ukipata architecture kwa HGE nakojoa viwembe...
Wewe unasoma wap?coz mm nasoma Ardhi na nimewaona so wewe unasoma DUCE unataka kujipa umaarufu hapa
Ushauri mzuri, ila bado sijaona uhusiano wa anachouliza huyu bwana na blv in God!
Mkuu hua unapenda maligi yasiyo na tija, grow up bhana.... Ardhi napo unajiona upo chuo? Better bite your tongue.
Ni sawa na kusema tumlete mtu wa HGL aje UD asome petroleum geology, sounds that heck...
Mkuu hua unapenda maligi yasiyo na tija, grow up bhana.... Ardhi napo unajiona upo chuo? Better bite your tongue.
Ni sawa na kusema tumlete mtu wa HGL aje UD asome petroleum geology, sounds that heck...
Ukipata architecture kwa HGE nakojoa viwembe...
Wanakutisha bure kwanza hawajui nini utasoma na hesabu ina sehemu gani, njoo Ardhi usome Archtecture bwana kwa raha zako chagua kati ya Archtecture 5yrs, Archtecture in landscape design 4yrs, Archtecture in Interior design
Mkuu Jerhy najua ww ni arch. hope utanielewa.
Mkuu nina bro wangu alimaza St.Anthony 2007, alikula 1:6 PCM akaacha maeng. ya CoET akaamua achukue hiyo arch. ya ardhi 5yrs, aseee na uBright wote aliokua nao alichezeshwa viduku hatari, liwa vichwa si kitoto, watu wa EGM na HGE walidisco wengi tu kuanzia 3rd year, since then watu wa HGE hawaisogelei kabisa arch. at least EGM nae kwa minato...
kagraduate na upper kala zake shavu caspian, sahivi yupo Quatar anapiga mzigo viwanja vya WC 2018...