Kwa ufaulu huu naweza kusoma Petroleum Geology?

Tboi

Member
Joined
Jun 27, 2024
Posts
11
Reaction score
24
Nimelaliza kidato cha sita 2024 nimesoma special diploma na nimesomea kombi ya PCE Yan physics, chemistry na Education na nimepata div 1 ya 6.

Physics B, chemistry A na education C.

Je kwa matokeo haya naweza kusoma petroleum geology vyuo vya hapa na nje
 
Nimelaliza kidato cha sita 2024 nimesoma special diploma na nimesomea kombi ya PCE Yan physics, chemistry na Education na nimepata div 1 ya 6. Physics B, chemistry A na education C. Je kwa matokeo haya naweza kusoma petroleum geology vyuo vya hapa na nje
Huwezi chaguliwa huna Advanced Mathematics.
 
Kasome kwenye guide book ya mwaka huu dogo, hapa watakuyeyusha tu na hakuna mwenye uhakika .
Petroleum geology, petroleum chemistry pale udsm wanataka D mbili kwa either (chemistry, physics or advanced mathematics) yoyote kati ya hayo same ukienda pale DMI kuna kozi ya oil and gas engineering wao pia requirements ni hizo hizo not necessarily uwe na advanced math, kikubwa nahisi upass walau olevel hesabu pia kama sikosei (kaangalie tena)
However, sikushauri ukasome hiyo kozi unless you have your own plans
 
Hapo nzuri ni Petroleum Chemistry au Petroleum Engineering
 
Kasome kwenye guide book ya mwaka huu dogo, hapa watakuyeyusha tu na hakuna mwenye uhakika .
Petroleum geology, petroleum chemistry pale udsm wanataka D mbili kwa either (chemistry, physics or advanced mathematics) yoyote kati ya hayo same ukienda pale DMI kuna kozi ya oil and gas engineering wao pia requirements ni hizo hizo not necessarily uwe na advanced math, kikubwa nahisi upass walau olevel hesabu pia kama sikosei (kaangalie tena)
However, sikushauri ukasome hiyo kozi unless you have your own plans
Hiv hii comb haina soko kubwa hapa Tanz6
 
Kila kozi ni changamoto hapa bongo, kwa izi kozi za petroleum ikitokea umekosa kuajiriwa ni ngumu kujishikiza (just fikiria wewe mwenyewe utafanya nini ikiwa umekosa ajira??).
Ila kama ulifkiria kwa kina kuhusu hiyo kozi na unamipango yako binafsi it's okay, at the end wewe ndo mwenye maamuzi
 
Nimelaliza kidato cha sita 2024 nimesoma special diploma na nimesomea kombi ya PCE Yan physics, chemistry na Education na nimepata div 1 ya 6. Physics B, chemistry A na education C. Je kwa matokeo haya naweza kusoma petroleum geology vyuo vya hapa na nje
Kasomee ushonaji nguo na vyupi
 
Ulitakiwa kufanya research kwanza hicho unachopenda kusomea kinahitaji masomo gani ndipo uchague combination ya kuchukua advance. Sasa wewe hesabu umekimbia na unataka kusoma hiyo course hebu nenda kasome ualimu unakutosha
 
Back
Top Bottom