Kwa ufaulu huu naweza kusoma Shahada ya Sayansi ya Computer

the enthusiast

New Member
Joined
Jul 10, 2021
Posts
4
Reaction score
4
Habari zenu ndungu zangu..

Kuna uwezekano wa mtu aliyemaliza form 6 PCM mwaka huu ( division III.14 ) akachukua degree ya computer science.
Physics-E
Chemistry-E
Advanced mathematics-D
 
Si wanasema at least uwe na point 4 kwenye masomo mawili! Yaani DD au hata EC.

Hapo kiukweli haiwezekani. Wahi chap upige diploma Computer Science.

Ukiupuuza ushauri huu utakuja kuurudia na kuuona wa maana baadae, omba muda usiwe umekutupa mkono wakati huo.

SUKAH
 
Unatakiwa kuwa D mbili Mkuu. Labda uende open upige foundation course mwaka mmoja then uende kupiga shahada au uende diploma miaka miwili then uende kupiga shahada yako.

Ushauri wangu nenda kapige diploma then uende kupiga shahada.

Faida yake utaenda chuo ukiwa na taaluma, so ukiwa na uwezo wa kujinymbulisha utakuwa na uwezo kutengeneza vijisenti, Itakusaidia kwenye performance pia Itakusaidia kwenye kusaka ajira, wakitaka wenye diploma umo, wakitaka wenye degree umo pia. Ukienda Arusha Tech, au DIT itakusaidia zaidi.
 
asante kwa muuongozo mkuu
 
nashukuru sana...ntafata muongozo wako.
 
Back
Top Bottom