the enthusiast
New Member
- Jul 10, 2021
- 4
- 4
Ilikuwa mwaka gani hii mkuu?Inawezekana nimesoma computer science na nililkua na ufaulu kama huo pia.tofauti hapo kwenye mathematics mie kulikua na Biology.
Unatakiwa kuwa D mbili Mkuu. Labda uende open upige foundation course mwaka mmoja then uende kupiga shahada au uende diploma miaka miwili then uende kupiga shahada yako.Habari zenu ndungu zangu..
Kuna uwezekano wa mtu aliyemaliza form 6 PCM mwaka huu ( division III.14 ) akachukua degree ya computer science.
Physics-E
Chemistry-E
Advanced mathematics-D
asante kwa muuongozo mkuuSi wanasema at least uwe na point 4 kwenye masomo mawili! Yaani DD au hata EC.
Hapo kiukweli haiwezekani. Wahi chap upige diploma Computer Science.
Ukiupuuza ushauri huu utakuja kuurudia na kuuona wa maana baadae, omba muda usiwe umekutupa mkono wakati huo.
SUKAH
nashukuru sana...ntafata muongozo wako.Unatakiwa kuwa D mbili Mkuu. Labda uende open upige foundation course mwaka mmoja then uende kupiga shahada au uende diploma miaka miwili then uende kupiga shahada yako.
Ushauri wangu nenda kapige diploma then uende kupiga shahada.
Faida yake utaenda chuo ukiwa na taaluma, so ukiwa na uwezo wa kujinymbulisha utakuwa na uwezo kutengeneza vijisenti, Itakusaidia kwenye performance pia Itakusaidia kwenye kusaka ajira, wakitaka wenye diploma umo, wakitaka wenye degree umo pia. Ukienda Arusha Tech, au DIT itakusaidia zaidi.
Ilikuwa mwaka gani hii mkuu?
SUKAH
Sawa mkuu, tatizo kwa miaka ya hivi karibuni requirements zimebadilika.Mwaka 2012.
Chuo gani? Degree?Inawezekana nimesoma computer science na nililkua na ufaulu kama huo pia.tofauti hapo kwenye mathematics mie kulikua na Biology.
Ndio degree ..IFMChuo gani? Degree?
We ulimaliza mwaka gani A level miaka hii hawaruhusu mpaka uwe na D mbili mkuuuInawezekana nimesoma computer science na nililkua na ufaulu kama huo pia.tofauti hapo kwenye mathematics mie kulikua na Biology.
Nakaxia miaka ya sasa huwexi kabisaIlikuwa mwaka gani hii mkuu?
SUKAH