Nitapata nafasi kweli hapo Muhimbili bila refa mkuuMtwara
Mafinga
Kibaha
Kilosa
Tanga
Ila vingine ukiomba unapata kirahisi sana maksi zako nzuri ...au nakushauri kama kweli unataka pesa za fasta bila mawazo hapi baadae kaombe Radiology Muhimbili pale ada ni sawa na vyuo vingine vya kati...
Dogo unaelekea shimoni..bora kasome pharmacy..co sasahivi hawana tofauti na walimu kwaingi wa idadi ya wahitimu.Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B.
Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya stashahada, na kozi ninayotaka kuisoma ni utabibu, je kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha afya cha serikali?
Shukrani kwenu nakaribisha mawazo yenu.
Ushindani ni mkubwa college za serikal, probability kubwa ya kupata vyuo vya privateMimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato Cha nne na kupata ufaulu ufuatao kwenye masomo ya sayansi, Physics-C, Chemistry-A, Biology-B, B/math-B.
Sasa nilikuwa nataka nifanye maombi yangu kwenye vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya stashahada, na kozi ninayotaka kuisoma ni utabibu, je kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha afya cha serikali?
Shukrani kwenu nakaribisha mawazo yenu.
Dah private Ada ni kubwa mkuu,vp una uzoefu wowote katika kuomba vyuo vya serikali ili upate kwa urahisiUshindani ni mkubwa college za serikal, probability kubwa ya kupata vyuo vya private
Unadhani ni ragisi kiasi hicho? Sasa kwa taarifa yako tu kwa sasa njia rahisi kua MD ni kupitia Form 6 kibao kimegeuka...unakuta Nafasi za MD kwa C.O zipo 10 na waombaji elfu 3..Kipaumbele wanapewa sana form 6.Mimi ni C.O nimemaliza 2020 lakini tangu nipo mtaani naliona gemu lilivyo wanaowini ni kozi zingine kabisa Radiology,Dental(hapa nina jamaa angu tulimaliza mwaka mmoja lakini simfikii hata robo).Mkuu C.O ni njia tu ninayotaka kupitia lakini lengo langu nataka niwe daktari(MD)
Omba Dental Au Radiology hizo maksi nzuri unapata bila shaka na hautakuja kujuta na kama utadharau huu ushauri miaka 3 baadae utakuja kuukumbuka katika majuto.Dah private Ada ni kubwa mkuu,vp una uzoefu wowote katika kuomba vyuo vya serikali ili upate kwa urahisi
Maksi nzuri hizo mkuu hasa physics tayari una C...Nakushauri Omba Meno na RadiologyNitapata nafasi kweli hapo Muhimbili bila refa mkuu
Nimekupata mkuu tafanya hivyo,Asante kwa kunifumbua macho mdg wakoOmba Dental Au Radiology hizo maksi nzuri unapata bila shaka na hautakuja kujuta na kama utadharau huu ushauri miaka 3 baadae utakuja kuukumbuka katika majuto.
Shukrani kaka Mungu akubariki nitajitahd niombe hasahasa radiologyMaksi nzuri hizo mkuu hasa physics tayari una C...Nakushauri Omba Meno na Radiology
umeongea point ingawa wapo waliojiajiri wanatamani wangesoma maana so kwa msoto huo wanaokutana naoKazana utafte pesa za mtaji ukajiajil, hayo mambo ya vyuo sjui nn unapoteza muda ndugu yangu.
Ukweli mchungu lkn lazima usemwe ili watu wapate kupona.
Akili za kuajiliwa bado mnazo?? Shame on you