Kwa ufaulu huu unaweza kuchaguliwa kusoma PCM

Kwa ufaulu huu unaweza kuchaguliwa kusoma PCM

Anachaguliwa kabisa huyo dogo, sema kuna probability ya kupelekwa shule za ndani ndani kama Lufilyo
 
Dogo anaweza kuchaguliwa pcm: phy D Chm C math B. 2 ya 18​

Ukikosa serikalini nenda private.

NB: hakikisha umesoma twisheni kabla hujaenda shule, form6 ya pcm sio sawa na olevo.
 
Anachaguliwa vizuri tu, Kuna jamaa yangu alipelekwa Galanos sekondari kwa ufaulu huo huo yaani 2 ya 18, Phys-D Chem-C B/Math-B
 
Dogo anaweza kuchaguliwa pcm: phy D Chm C math B. 2 ya 18​

Kwani kombinesheni zingine hazipo,Hiyo D akasome physics ataweza kweli huo mziki,Aombe Mungu mwaka wao waliofaulu wasiwe wengi kwenye somo Hilo la physics
 
Anasoma vizuri kwa mujibu wa Utaratibu uliowekwa na serikali ila kwa shule nyingine wamesema Utaratibu binafsi mtu mwenye D Phy hawezi kusoma kombi yenye Phy .
 
Anachaguliwa kabisa huyo dogo, sema kuna probability ya kupelekwa shule za ndani ndani kama Lufilyo
Akipangwa shule ya mbali nitafute
Nkutafutie shule huku moshi

Call &whatAap
+255764616353
 
Sawa
Anasoma vizuri kwa mujibu wa Utaratibu uliowekwa na serikali ila kwa shule nyingine wamesema Utaratibu binafsi mtu mwenye D Phy hawezi kusoma kombi yenye Phy .
Sawa
 
Back
Top Bottom