Ukikosa serikalini nenda private.Dogo anaweza kuchaguliwa pcm: phy D Chm C math B. 2 ya 18
Kwani kombinesheni zingine hazipo,Hiyo D akasome physics ataweza kweli huo mziki,Aombe Mungu mwaka wao waliofaulu wasiwe wengi kwenye somo Hilo la physicsDogo anaweza kuchaguliwa pcm: phy D Chm C math B. 2 ya 18
Akipangwa shule ya mbali nitafuteAnachaguliwa kabisa huyo dogo, sema kuna probability ya kupelekwa shule za ndani ndani kama Lufilyo
SawaAnasoma vizuri kwa mujibu wa Utaratibu uliowekwa na serikali ila kwa shule nyingine wamesema Utaratibu binafsi mtu mwenye D Phy hawezi kusoma kombi yenye Phy .
OkUkikosa serikalini nenda private.
NB: hakikisha umesoma twisheni kabla hujaenda shule, form6 ya pcm sio sawa na olevo.