Kwa UFUPI MAFWELE the Killer, hatoonekana tena as long as Mh Polepole, Mdude na wengineo walotekwa wataendelea kushikiliwa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI.



Hawa ******* wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho.


No way , potelea mbali !!!.



Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
 
Kwani lini bro alishawahi kujitokeza hadharani?
 
Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI.



Hawa ******* wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho.


No way , potelea mbali !!!.



Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
Au ni mbinu za kumtorosha kijanja!? Tuambieni alipo huyu jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…