Kwa Ufupi sana...

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Soka letu la Tanzania bara (Tanganyika) linahitaji uwekezaji (wawekezaji).

Ila mwekezaji kama Mohammed Dewji (Mo Dewji) hawatakiwi kabisa kwenye soka letu, hawafai wanatufedhehesha sana.

Kwa ufupi sana...

"Who feeds you, control you".
 
Kati ya Mo na Manara,nani anahitajika zaidi na Simba?
 
Mo anahitajika kwa vile ndio yupo.Ila kwa hali hii ya sasa hivi pesa wala hazitakuwa na tija kabisa.

Jiulize kama Chama amemu unfollow Mo huko insta,unadhani nini kitatokea uwanjani tena?

Jiulize pia ni wachezaji wangapi hawafurahii jinsi Mo anavyofanya kiasi kwamba wanaonesha wako tayari kutumika ili kumuumiza anayewalipa mshahara?

Kweli binadamu ni shida sana
Jibu zuri sana,na je'kati ya Mo na Manara nani anaweka pesa pale Simba?
 
Muwekezaji ana hisa 49% ila mbona anaota mapembe kama amenunua timu (mmiliki kwa 100%)
Embu nambie basi hao wenye 51% wametoa kiasi gani?,kumbuka hizi timu za Simba na Yanga ni tegemezi,kabla ya Mo Simba ilikua dhoofu lhali hata mishahara,bonas na mambo mengine huwa wanatembeza bakuli,alipojitoa Manji kwa Yanga ilikua ni hali tete kwa Yanga.
 
Maamuzi yepi sasa hayo utoe mfano alikataa kutoa pesa za kusajili au?
Mfano ni inshu ya leo ya chama, anatana kumwingilia hasi sebuleni kwake. Pia press conference yake ya juzi inaonesha hindi gani ni mtu ambaye sio smart katika kuamua kipi aseme, kipi aaache.
 
Wachezaji gani hao awafurahishwi ni Mo,embu wataje tuwajue? Hisia tu hizi,mchezaji sio shabiki atacheza Simba kesho atasajiliwa na Yanga,mchezaji asipolipwa stahiki zake anasepa tu awezi kubaki.
 
Mfano ni inshu ya leo ya chama, anatana kumwingilia hasi sebuleni kwake. Pia press conference yake ya juzi inaonesha hindi gani ni mtu ambaye sio smart katika kuamua kipi aseme, kipi aaache.
Haya sio majibu niliyouliza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…