IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Ukipeleka shauri (ombi) mahakamani nyaraka lazima zitaje sheria inayoipa uwezo Mahakama kushughulikia na kumpa Muombaji hicho anachoomba.
Pale ambapo mwombaji kwenye nyaraka anayoombea hicho anachoomba hataji hiyo sheria stahiki bali sheria nyingine ndipo wrong citation inapotokea
Pale ambapo mwombaji kwenye nyaraka anayoombea hicho anachoomba hataji hiyo sheria stahiki bali sheria nyingine ndipo wrong citation inapotokea