IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Na anaye kuambia umefanya makosa hatakiwi kukupa kifungu?
Naona kama nikusumbuanatu akili kwakua huyo anayekuambia umefanya wrong citation anajua kifungu ulichoacha kuandika.
Labda waseme uwepo muda wa marekebisho tena
Point yako ni ipi, what do you want to substantiate, kwamba jaji yuko sahihi? au kwa vile hii siyo applicationUkipeleka shauri (ombi) mahakamani nyaraka lazima zitaje sheria inayoipa uwezo Mahakama kushughulikia na kumpa Muombaji hicho anachoomba.
Pale ambapo mwombaji kwenye nyaraka anayoombea hicho anachoomba hataji hiyo sheria stahiki bali sheria nyingine ndipo wrong citation inapotokea
Sawa mwanasheria, lakini hizi sheria siku hizi mnajifunza kwa masafa mnaelewa Kweli?Ukipeleka shauri (ombi) mahakamani nyaraka lazima zitaje sheria inayoipa uwezo Mahakama kushughulikia na kumpa Muombaji hicho anachoomba.
Pale ambapo mwombaji kwenye nyaraka anayoombea hicho anachoomba hataji hiyo sheria stahiki bali sheria nyingine ndipo wrong citation inapotokea