Kwa ' Uhuni ' huu tuliofanyiwa Watanzania na Taifa Stars yetu huko nchini Burundi, Jumapili ya tarehe 8 nasi tuna haki ya Kulipiza Kisasi

Burundi ni taifa la vita...sasa Ndugu yangu ulitarajia nini?? Mimi binafsi niliwahi kwenda pale na timu ya Taifa maka ya tisini mwanzoni...msafara wetu uliongozwa na Kanali Moses Nnauye (sasa marehemu)...tulikuwa tunaogopa balaa, yaani ukiwa Burundi unalazimmika kuwa mpole kabisa..Watu wenyewe ni watu wa shari kabisa....mkileta fujo hapa TZ ni lazima tutaondolewa hata kwenye michuano yenyewe...Warundi siyo tu watu wa vita lakini pia ni walalamishi..jambo dogo wanaweza wakalikuza na kusikilizwa..
 
Namba 1 hilo sio kosa bali walikua wanawapunIsha ili akili isogeleane vizuri waandike habari za kweli sio porojo [emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 

Wahutu ni balaa,bora mlikua wapole la sivyo mngeliwa nyama mbichi.
 
Mi Naomba tu kujua ivi ule uwanja wakule Burundi 2lioutumia kucheza nao jana je ndio uwanja wao wataifa.? Mana unaonekana kama hivi viwanja vyetu vya mikoani tu

Kinchi kina hali mbayasana hicho/umaskini uliopitiliza,sasa kama Ikulu yenyewe walikua hawana mpk wamejengewa na wachina imagine kuhusu uwanja wao wa taifa utakuaje.
 
Tupange location ya maandalizi maanake haiwezekani South tupigwe na Burundi tunyanyaswe ngoja sasa tutaona

Hao mnajipanga na ndoo zenye vinyeshi,bus lao linapoanza kuingia pale taifa ni full kuwarushia vinyesi kwenye kwenye vioo vya gari.
 
Kisasi kizuri ni kuwafunga goli nyingi siku hiyo.
 
Mi Naomba tu kujua ivi ule uwanja wakule Burundi 2lioutumia kucheza nao jana je ndio uwanja wao wataifa.? Mana unaonekana kama hivi viwanja vyetu vya mikoani tu
Sio mikoani,sema kama cha mabatini pale mlandizi
 
Hilo siyo suala la kuongea wewe acha utaona show kamili itakuwaje. Hakuna mtu mjinga kama mtanzania sema tu hatutaki kufanya ujinga.
Warundi wamedanganyika na hizo hujuma.
Umekua Mtanzania toka lini?
 
Aise jpili patachimbika mm nimeandaa zana zangu nikiongozwa na bibi mmoja rfk yang sana
 
nyie ni mazuzu hamuwezi kulipiza kisasi kaka angu, haizidi haipungui mtawapokea kwa unyenyekevu na mkithubutu kuwafanyia chochote askari polisi wenu watapiga virungu nakuwetegua viuno
 
Hilo siyo suala la kuongea wewe acha utaona show kamili itakuwaje. Hakuna mtu mjinga kama mtanzania sema tu hatutaki kufanya ujinga.

Warundi wamedanganyika na hizo hujuma.
Nawaonea huruma hawa warundi maana kikinuka sawasawa sijui kambi zao kule katumba mishamo wataishije.Wasiwavuruge watanzania ni zaidi ya mama zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…