Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ni kweli mkuutuasikia mengi mwaka huu
Umijuaje???ni kweli mkuu
Mapyaaaaaaaaaamajani ya mpera
yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume
Proof?majani ya mpera
yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume
tumia uone kama hujatoa debe la spermUmijuaje???
jaribu uoneProof?
kwa mtindo huu watu watakula mpaka nnyaMajani ya mpera;
Yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume.
....pa kujaribia???....na uimara ni upi unazungumzia???tumia uone kama hujatoa debe la sperm
wengine si mnatoa tu maji?....pa kujaribia???....na uimara ni upi unazungumzia???
Jinsi ya kutumia unafanyaje ama unachemsha?Majani ya mpera;
Yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume.
Umesoma basic biology- form 1-4?tumia uone kama hujatoa debe la sperm
Ni kama vile hajui sperm ni nini...Umesoma basic biology- form 1-4?
ndio mkuu unachemshaJinsi ya kutumia unafanyaje ama unachemsha?
matumizi???Majani ya mpera;
Yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume.
nazijua sana babyNi kama vile hajui sperm ni nini...
unachemsha unakunywa kila siku lita mojamatumizi???
unayatazama, unajipaka au unatafuna??? isije kua mtu katumia visivyo yakampata ya kumpata.
Ndiyo maana nimemuuliza swali hiloNi kama vile hajui sperm ni nini...