.....ninaishi mbali na mpenzi wangu.... Nimetofautiana nae jioni ya leo..... kama mnavyojua mapenzi ya mbali hayakosi wivu.....
...baada ya kutoelewana kwa muda....akatuma hii msg...
..."YAANI MPENZI SIKU ZINAVYOKWENDA NDO UNAZID KUUTEKA MOYO WANGU,NIHURUMIE NATESEKA JUU YAKO(yani mimi)..akaendelea... "SINA IMANI NA MULE KWAKO....UTALALA PEKE YAKO KWELI...." mwisho wa nukuu....
Sasa ndugu zangu ni kweli huyu anamaanisha mapenzi ya dhati....
...... I never trust my partner all my life.....
....how do u trust urs...???
...si kwamba na tabia za chapa ilale..,. Naogopa kumkabidhi moyo wote...that chochote kitakachotokea ni ji adjust fasta....
vuruganeni tu hadi mpasuane vichwa.
Mtapata cha kusimulia wajukuu zenu.
Basi mkishaoneshwa kupendwa mna pozi. Mmegombana ila mwenzio kajirudi lakini bado unataka kufanya mambo yawe magumu.