...Kwa ujumbe huu... Unamaanisha mapenzi ya Dhati....



....ok... najitahidi kukuelewa....
 
When someone doubts u too much.. There's a huge possibility anadhani unafanya kile anachofanya yeye huko alipo.. So both of you have something in common.. Either wote mna cheat au mpo very insecured!


...wewe umeongea neno la ukweli....
Solution ni ipi sasa...?
 
Piga simu mzungumze alafu ni vizuri kumshirikisha Mungu ili muweze kupambana na hisia mbaya zinazojitokeza swala la mungu lifanyeni kwa pamoja kila siku usiku salini kwa pamoja kuombea shetan akae mbali na penzi lenu na ikibidi kila mmoja aepuke situations zinazopelekea mhisiane vibaya.Acheni kuishi kwa kuongozwa na kiburi mtaaribu maisha yenu.PIGA SIMU MTAFUTE NINI KINALETA HIYO HALI ILI MSOLVE TATIZO ili mfikilie maendeleo sio ma wivu na migogoro isiyo ya maana.
 
....let me make this more clearer..... mimi nimfanyakazi na yeye n mfanyakazi ... twaishi mikoa tofauti........ na mara nyingi uwa twapeana maswali ya "KUSHUKIANA"... ...kama hakuna anayemuamini mwenzie... Nafikiri mmenielewa naw..

Wewe upo mkoa gani na yeye mkoa gani.. Wajua mikoa mingine inadetermine risk kwenye love "vishawishi"
 

hiyo ni deffensive mechanism, anajiandaa au alishaanza kukucheat tayari..... niliamua kuchukua uamzi huu baaada ya.......!
 


Pole sana bwana,hapa hakuna cha kuuliza,hiyo meseji siyo yako,katumiwa m2 mwingine bahati mbaya ikaja kwako........au "SINA IMANI NA MULE KWAKO.kama ni wewe kwani kwako kukoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…