Kwa ujumbe huu unawezaje kupinga mbio za Mwenge wakati unaunga mkono Mikutano ya Hadhara?

Hizo mbio za mwenge ni ujinga tu. Kiufupi hazina tija yoyote ile kwa dunia ya sasa.
 
Mwenge ndio Dawa sawia ya mabeberu.
Uwamulike kokote waliko.
Utuangazie walipojificha.

Kwani Ni tunu Chanya kwa taifa letu.

Tutakapokubali huu mwenge uzimwe, mjue Ubeberu utatapakaa Duniani.

Aluta Continua
 
kama kazi ya mwenge ni kumulika na kufichua madudu ktk miradi ya maendeleo n.k, kwanini hawawezi kubadilisha awe ni mtu mwenye cheo chake eidha waziri mkuu, CAG, Rais au yeyote mwenye mamlaka ili iwe ni mtu badala ya huo mwenge..!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…