Kwa ukimya wetu wanasiasa wametufanya bwabwa tu'

Kwa ukimya wetu wanasiasa wametufanya bwabwa tu'

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Hali inayoendelea katika Bunge ni reflection ya namna tulivyowaachia wanasiasa kutufanyia kila kitu watakacho ili hali sisi tukichekelea !
Uwezo wa utambuzi wa Watanzania wengi uko chini sana ndio maana wanasiasa wanalitambua hilo na kuamua kuwa buruza Watanzania
Ndio maana ngumi maana wanajadili maoni yao na si maoni ya wanachi!
Mpaka pale tutakapo amka /kuzindika na kufahamu umuhimu wetu katiaka ujenzi wa nchi hii ndipo Watanzania wataanza matunda ya UHURU ,VINGINEVYO TUTAENDELEA KUSUASUA HIVIHIVI!
TUTAISHIA KULOGANA ,KUUANA,KUIBIANA ,KUIBA NA MICHONHO ILI TUELIMISHE WATOTO WETU,AU TUPATE HUDUMA ZA AFYA
MFUMO HUU UTATAWALA MILELE KAMA NA TUTAKUWA SAWA NA WANAUME BWABWA !
 
Back
Top Bottom