Kwa Ukosefu Huu wa ajira,hakuna namna

Bora huyu amesema ukweli kutoka moyoni, CCM haitaki kusema ukweli kuwa imeshindwa kuzalisha ajira kwa wananchi wa Tanzania.
 
mwisho tutaanza kusikiliza matangazo ya vifo au ku deal na watu mochwari wawe wana tupa update mtumishi wa ofiso gani kafa ili ukazibe nafasi
 
Matangazo ya vifo yawe wanataja na kazi aliyokuakifanya marehemu watu watakua bora waache kusikiliza taarifa za Habari wasikilize matangazo ya vifo
 
hahahaha mkuu umenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…