Baada ya mechi ya Juventus vs Barcelona katika dimba la Camp Nou kuisha ,kocha wa Juve alihojiwa na waandishi wa habari akasema alipoingia Andrea Barzagli alijua mechi ndio ishaisha hapo maana hata zingeongezwa dakika 300 barca wasingeweza kupata goal lolote..Akaendelea kusema hata kama kungekuwa na kina Messi 6 uwanjani bado game ingeisha 0-0
Hii game naitabiri 0-2
View attachment 504214
Kwahiyo bazagli ndie mungu wa kuzuia mabao
Mkuu tabiri basi na leo man u vepee..??Mimi pweza wa JF
Hongera,Juve mwisho wake ni Real Madrid,kombe la kumi na mbili.Baada ya hapo Zidane atatangaza kupumzika kwa mwaka mmoja.Ronaldo ataondoka kwenda Man u au Psg pamoja na Sergio Ramos.Naomba mnipongeze wakuu kwa utabiri wangu
Kwa mwendo huu wa Juve naona kombe lao mwaka huu. Wapo kwenye kiwangoHongera,Juve mwisho wake ni Real Madrid,kombe la kumi na mbili.Baada ya hapo Zidane atatangaza kupumzika kwa mwaka mmoja.Ronaldo ataondoka kwenda Man u au Psg pamoja na Sergio Ramos.
Juve alikuwa kwenye kiwango bora kabisa fainali ya 1997 akapigwa na Dortmund,1998 alikutana na Madrid akapigwa moja tena alikfunga Roberto Carlos na wakati huo Zidane alikuwa Juve.Hapo ndoo inatua Santiago Bernabou hakuna namna,Delle alpi watasubiri sanaKwa mwendo huu wa Juve naona kombe lao mwaka huu. Wapo kwenye kiwango
Juve alikuwa kwenye kiwango bora kabisa fainali ya 1997 akapigwa na Dortmund,1998 alikutana na Madrid akapigwa moja tena alikfunga Roberto Carlos na wakati huo Zidane alikuwa Juve.Hapo ndoo inatua Santiago Bernabou hakuna namna,Delle alpi watasubiri sana