BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
It can be addictive,utapoteza uwezo wa kufanya mazungumzo na watu,kuanzisha mazungumzo na watu unaokutana nao kwa mala ya kwanza.Naipenda sana Smartphone yangu inanipa kampani na kunifariji hasa katika kipindi hichi ambacho changamoto za maisha zinazidi kuongezeka.
Uwezo wa kufanya mazungumzo ukipotea Tutapeana Facebook account tutakuwa tuna chat kwenye messenger full kutumiana emojiIt can be addictive,utapoteza uwezo wa kufanya mazungumzo na watu,kuanzisha mazungumzo na watu unaokutana nao kwa mala ya kwanza.
Punyeto imeanza kupigwa wayback kabla ya ujio wa simu.Kuwa makini sana PUNYETO inapatikana umo
Nipo zangu Mbamba bay nakula vitui na dagaa Nyasa nipo nafanya harakati za kuelekea Malawi.Bado unapita kuzunguka mikoani?
Mtu chake afu Kila mbuzi na kamba yakeTecno mbovu inyojirestart ukiishut down
Mnabaki kuwa binadamu wenzanguKweli? Na sisi binadamu wenzako Je?