Msichoke
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 569
- 400
Club ya Cardiff inaonesha nia ya kuwania huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta. Binafsi namsihi Mbwana amalizie msimu na KRC Genk ili aanze maisha mapya na msimu mpya na asiache unfinished business pale Ubelgiji coz kuna dalili za ubingwa ili kujenga CV yake. Pia naona Cardiff wanashuka daraja so sio sehemu sahihi. Je wewe unaonaje Samatta aende tu Cardiff, kama watatoa dau ambalo Genk watavutiwa nalo? View attachment 994629View attachment 994630
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app