Club ya Cardiff inaonesha nia ya kuwania huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta. Binafsi namsihi Mbwana amalizie msimu na KRC Genk ili aanze maisha mapya na msimu mpya na asiache unfinished business pale Ubelgiji coz kuna dalili za ubingwa ili kujenga CV yake. Pia naona Cardiff wanashuka daraja so sio sehemu sahihi. Je wewe unaonaje Samatta aende tu Cardiff, kama watatoa dau ambalo Genk watavutiwa nalo? View attachment 994629View attachment 994630
Sent using Jamii Forums mobile app
Cardiff pazuri hata kama akienda kucheza championship kukiko kucheza ligi kuu ubeligiji isiyokuwa na CV yoyote ile Europeaende tu...............
Duh!Kule wanariadha,wanakimbiza Mpira tuuu
Unaposema Ligi kuu ya Belgium haina CV yoyote ulaya una maana gani?!Cardiff pazuri hata kama akienda kucheza championship kukiko kucheza ligi kuu ubeligiji isiyokuwa na CV yoyote ile Europe
Sent using Jamii Forums mobile app
Cv ya kushuka na timu sio nzuri.Cardiff pazuri hata kama akienda kucheza championship kukiko kucheza ligi kuu ubeligiji isiyokuwa na CV yoyote ile Europe
Sent using Jamii Forums mobile app