Kwa Umahiri mkubwa tuliouona wa Makomandoo wetu Tanzania ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Polisi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea.

Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na Uvimilivu Wao wa hali ya juu siamini kwamba Polisi wa Tanzania wana Ubavu wa Kuwatesa au hata Kuwamaliza tu mazima.

Kwa mtizamo wangu ( ambao hata hivyo naomba Uheshimiwe ) ni kwamba huenda hawa Makomandoo waliopo katika Kesi ya Mbowe ( Freeman ) waliteswa na Watu wengine kutoka Taasisi zingine ila Jeshi la Polisi Tanzania ni kama tu limetupiwa Zigo la Mavi ili Wahusika wajifiche na wasihusishwe katika Visasi ambavyo nasikia vinaandaliwa taratibu dhidi yao na kuna Watu huenda wakazikimbia hata Ofisi zao kimya kimya.
 
hata mm nimeshangaa imekuaje polisi wakawapa kibano kwa uhodari wao wanaotuonyesha sikukuu za kitaifa??
 
Back
Top Bottom